Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

Roger Ramer

Member
Feb 4, 2017
34
15
Nataka kuchukua diploma ya mechanical engineering na nmechaguliwa DIT na NIT. Kozi ya diplo kwa waliomaliza form6 kama mimi ni miaka miwili NIT lakini DIT ni lazima miaka mitatu. Naombeni ushauri wenu nikasome wapi?
 
DIT wanafanya Bachelor of Engineering,Udsm wanafanya Bachelor of science in Engineering,hapo ndipo tofauti inapoanzia but mwisho wa siku wote mnasajiliwa ERB
If and only if unarudi vyuo vinavofanana na dIT the likes of Udsm miaka ni minne
 
Back
Top Bottom