Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

Chuo bora kati ya DIT na NIT kwa mechanical engineering

DIT wanafanya Bachelor of Engineering,Udsm wanafanya Bachelor of science in Engineering,hapo ndipo tofauti inapoanzia but mwisho wa siku wote mnasajiliwa ERB
Hata st Joseph wana bachelor of engineering but ukitoka DIT and the likes from diploma utasoma miaka minne ileile

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
ukiwa na diploma ukifata kufanya degree ya engineering ambayo ni miaka 4 unaazia mwaka wa pili,so unasoma miaka 3
Mwambie ukwel ,,,kam akitak kusoma miak mitatu labda abaki apo apoa ila akienda chuo kingine lazima apige miaka minne
 
Back
Top Bottom