heslb wametoa tangazo kuwa second round applicant na wengine wote watakao chaguliwa na TCU mkopo hamna....eti wanasema wakati tuna apply second round TCU walitueleza kabisa kuwa mkopo hatutapata..hivi kweli kama wangesema hivo si wengine tungeomba diploma tu kupunguza gharama ukizingatia kozi zenyewe science.wadau wenzangu mnasemaje? JAMANI INAUMA SANA