chuo baaaaaaaaaaaasi mpaka mwakani

Zidy

Member
Oct 5, 2011
29
4
heslb wametoa tangazo kuwa second round applicant na wengine wote watakao chaguliwa na TCU mkopo hamna....eti wanasema wakati tuna apply second round TCU walitueleza kabisa kuwa mkopo hatutapata..hivi kweli kama wangesema hivo si wengine tungeomba diploma tu kupunguza gharama ukizingatia kozi zenyewe science.wadau wenzangu mnasemaje? JAMANI INAUMA SANA
 
Muacici

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
208
11
Pesa za mikopo kwa ajili ya wanavyuo wanataka walipe Dowans, hivyo no mkopo!!!
 
GHANI

JF-Expert Member
Feb 18, 2011
703
275
Nenda kalime, si lazma wote waende chuo.

wewe kichwan mtupu,we si ndio discontinued students from university of dodoma due to minimum Gpa, we stupid yani wewe ku-disco na wenzako ndio wasisome, shame upon you!
 
Mwanakili90

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
1,571
234
heslb wametoa tangazo kuwa second round applicant na wengine wote watakao chaguliwa na TCU mkopo hamna....eti wanasema wakati tuna apply second round TCU walitueleza kabisa kuwa mkopo hatutapata..hivi kweli kama wangesema hivo si wengine tungeomba diploma tu kupunguza gharama ukizingatia kozi zenyewe science.wadau wenzangu mnasemaje? JAMANI INAUMA SANA

Hela yenu inafidia mashimo ya mabilioni ya igunga,mungu atawasaidia.
 
Kimolah

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
483
547
. . .ndio matokeo ya kumix siasa na mambo ya msingi, HELSB & TCU and some higher learning institutions wanachanganya utashi wa kisiasa na elimu.
 
valid statement

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
2,843
835
pole ndugu. Ila mwakani sio mbali saaaana.
Lakini, je mwakani utapata huo mkopo?
Kama vipi usipoteze mwaka bure we kapige diploma mdau.
 
Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,019
1,760
Mdau ucfe moyo namna hyo..shukuru mungu wewe hata una cheti cha 4m 6 unaweza pga coz yoyote na ukatoka fresh 2 kimaisha,ebu fikiria kama wewe unakata tamaa namna hyo,vp yule alyefeli mtihani,ye anajickiaje!jipange 2 m2 wangu,hope u gone make it..
 
Innoexp

Member
Sep 24, 2011
9
0
Pole sana ndugu,i cn imagne unavojckia,2kazane kusoma jaman 2cjekua wababaishaj ka hawa wazee hko serkalin
 
Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
1,012
952
Kwa kweli inauma sana,lakini usijutie kuwa mtanzania bado una nafasi ya kuchukua hatua..!!2015 hyooo,kwa kweli nina hasira sana na serikali ya magamba
heslb wametoa tangazo kuwa second round applicant na wengine wote watakao chaguliwa na TCU mkopo hamna....eti wanasema wakati tuna apply second round TCU walitueleza kabisa kuwa mkopo hatutapata..hivi kweli kama wangesema hivo si wengine tungeomba diploma tu kupunguza gharama ukizingatia kozi zenyewe science.wadau wenzangu mnasemaje? JAMANI INAUMA SANA
 
Pawaga

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
1,330
963
wana jf nisaidieni vyuo vinavyotoa assistant medical officer hapa nchini na contact zao..ni heri nitafute diploma tu[/QUmkuu pole sana lkn hii yote ni matunda ya CCM na serikali yake,.ok kuna chuo mtwara kinaitwa COTC ni kizur. Poleni sana lkn msikate tamaa.
 
Dah asante mkuu..nimepata contact zao na nimeongea nao..sasa sijui nianzie wapi mana principal wa pale anasema wao wanafunzi wanaletewa na wizara ya afya
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom