mwalimumpole
Member
- Oct 17, 2010
- 48
- 0
JIMBO LA LUPA CHUNYA LIMECHUKULIWA NA CCM, NA WALE MAAFISA WA UCHAGUZI WALIOTUHUMIWA KWA UCHAKACHUAJI NA KUSHIKILIWA NA DOLA WAMEACHIWA BILA MAELEZO YA MAANA eep:
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka mahakamani akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!

Hivi kutukana ndio werevu. Kukuonesha kuwa nimekuzidi werevu hutasikia tusi lolote toka kwangu MARIA, CHALLENGER NA MWALIMU. Ni mara ngapi katika historia hii hii ya vyama vingi watu wameenda mahakamani na wakapata haki? Tumieni takwimu na sio matusi. Je, si dokta Slaa anayesema kila siku mahakama ilithibitisha aliibiwa kura 5,000? Hiyo ilikuwa mahakama ya tumbili?
Jengeni hoja, si vioja

mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka mahakamani akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!
Mwenye uchungu na nchi yake akawafungulie mashtaka akiwa na ushahidi na sio kulalama hapa kama zuzu!
The inbreeding is certainly obvious in your family.