Elections 2010 Chunya yaenda CCM pamoja na wasimamizi kuwekwa ndani

Hivi kutukana ndio werevu. Kukuonesha kuwa nimekuzidi werevu hutasikia tusi lolote toka kwangu MARIA, CHALLENGER NA MWALIMU. Ni mara ngapi katika historia hii hii ya vyama vingi watu wameenda mahakamani na wakapata haki? Tumieni takwimu na sio matusi. Je, si dokta Slaa anayesema kila siku mahakama ilithibitisha aliibiwa kura 5,000? Hiyo ilikuwa mahakama ya tumbili?

Jengeni hoja, si vioja

akina mwalusanya wako wchache wanaweza kusema ukweli, angalia jaji mzima hata kutembea hawezi anatumiwa na ccm hata kustaafu nec hawezi, hata 2015 utamuona akisoma matokeo ya uchaguzi kwenye wheel chair :nono:
 
Back
Top Bottom