Mkuu ni wapi kumewaka moto? Mbeya au Chunya au Lupa Tinga Tinga? Nauliza hivyo kwa kuwa haya maeneo japo yote yapo Mbeya lakini yapo mbalimbali yote yakiwaka moto basi ni hatari.
Haya dar wananchi walichoma moto mwanajeshi magumashi polisi wamedai wanawasaka walio husika na kuwatia lupango na kuwafungulia mashtaka ya kujichukulia sheria mkononi.
Lakin wao wamezungukwa na mauaji chungu mzima tukianzia arusha,mbeya na songea hiyo ni baadhi ya mikoa iliyokutana na wauaji polisccm lakin hatuja wahi sikia kuna polis kashtakiwa juu ya mauaji ya raia.