Chunguza wanaorudia mitihani k4 au k6

Mpigaji

JF-Expert Member
Feb 6, 2011
384
42
Wadau hii imekaaje?Idadi kubwa ya Private candidates kwa wanaorudia mitihani kidato cha 4 au 6 huwa ni wasichana!KWA NINI?
 
We ni mwongo na unataka kumaanisha wao ndo wanafeli tu, jambo ambalo siyo sahihi
 
Back
Top Bottom