Chungeni msiingizwe kingi na majini bandia

Chungeni msiingizwe kingi na majini bandia

Hii sikuwah isikia. Na ni ngumu mwanaume kusema amepandisha majini eti aombe pesa... Sijui kwa hili lina ukakasi kwangu
Wanaume wa dar hawatabirik mkuu anaweza hata kusema anaujauzito ili ahudimiwe
 
Wanaume wa dar hawatabirik mkuu anaweza hata kusema anaujauzito ili ahudimiwe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] [emoji87] sijawahi kusikia tusi kubwa kama hili
 
Dah.... Hiyo KITI hasa akiwa dem wako ni hatareee....ukitoka relini tu anajua.....[emoji87] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
Acha kabisa unapewa full mkanda, ila wanasaidia sana mimi kwangu kikiingia kitu kibaya tu nishapata taarifa ila mwanzo inaogopesha ukimzoea mnapiga story hadi anaondoka zake
 
Acha kabisa unapewa full mkanda, ila wanasaidia sana mimi kwangu kikiingia kitu kibaya tu nishapata taarifa ila mwanzo inaogopesha ukimzoea mnapiga story hadi anaondoka zake
Dah....hatareee....mie nilibwaga bana[emoji87]
 
Back
Top Bottom