Chungeni msiingizwe kingi na majini bandia

Kuna mtu alipandisha majin usiku wa Saa sita yakaomba aende makaburin kwa babu zake usiku huohuo ,ndugu zake wakayaomba aende asubuhi na siyo usiku huohuo yakakataa ,ila yalipoobwa na mama yake kwamba yawasamehe ili aende asubuhi yakakubali ,je yalikuwa majin kweli au perception tu?
 
Kuna wakati hayo madude yapo na yanafanya kazi kikweli ila kuna mazingaombwe pia hasa inapokuja kuhusisha suala la mahusiano
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] usimdanganye mdada wa watu atakufa mapema nakuambia
downloadfile.jpg
 
hahaaaah niitwa nikamsomee mwenye majini, nikajifanya ustaz, nikaenda nikakaa mbele yake, nikaanza kumsomea alifu, jini lilicheka sana likasema wewe binadamu nimependa utani wako, kisha nikala kofi ambalo alama yake ilikuja kufutika baada wiki
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka mpaka watu wananishangaa
 
Ukiwa na hayo majini safi saana yawe yanaamka pale ambapo msichana anataka kukupiga mzinga.
 
Dah.... Hiyo KITI hasa akiwa dem wako ni hatareee....ukitoka relini tu anajua.....[emoji87] [emoji13] [emoji23] [emoji23]
Huwa unajibu hovyo sana, huwa najua wewe ni fyatu, kumbe unazo unsjifanyaga tahira kumbe!
 
hahaaaah niitwa nikamsomee mwenye majini, nikajifanya ustaz, nikaenda nikakaa mbele yake, nikaanza kumsomea alifu, jini lilicheka sana likasema wewe binadamu nimependa utani wako, kisha nikala kofi ambalo alama yake ilikuja kufutika baada wiki
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] shen..zi kabisa[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
hahaaaah niitwa nikamsomee mwenye majini, nikajifanya ustaz, nikaenda nikakaa mbele yake, nikaanza kumsomea alifu, jini lilicheka sana likasema wewe binadamu nimependa utani wako, kisha nikala kofi ambalo alama yake ilikuja kufutika baada wiki
Hilo jini lilikuwa linaitwa nani?
 
Its okay. Pesa ni pesa mshana.

Huruhusiwi kuweka bank?? Unaweka bank account ikishiba unarudi kule kuwa bize kuimba mapambio
Zinapoteaga bila kujua zimepoteaje
 
Back
Top Bottom