Chunga sana ulimi wako mwanandoa

Kweli kabisa. Na pia wakati mtu amelewa unapata point!
 
Ah ah ah ah au mtu anakupa likizo ya love ah ah ah ah stupid kabisaa
Aah me hayo mambo ya kutishana siwezi, tumeshindwana basi kila mtu achukue time yake. Eeh tupeane break ndo kitu gani akhuu
 
Aah me hayo mambo ya kutishana siwezi, tumeshindwana basi kila mtu achukue time yake. Eeh tupeane break ndo kitu gani akhuu
Mambo mengine kujifanya tunaiga wazungu, tunapeana break kwani ni mpira huu, we sema am out kila mtu ashike 50 zake.
Eeh akitaka space wewe Mpe na time kabisa, atacalculate velocity ya pa kukupata tena
Akirudi anakutana na density kabisa akose na pa kukaa.
 
Mambo mengine kujifanya tunaiga wazungu, tunapeana break kwani ni mpira huu, we sema am out kila mtu ashike 50 zake.

Akirudi anakutana na density kabisa akose na pa kukaa.
Hahaha huo uzungu mie umenishinda kabisaa, eti atakuta density teh teh
 
Aah me hayo mambo ya kutishana siwezi, tumeshindwana basi kila mtu achukue time yake. Eeh tupeane break ndo kitu gani akhuu
Love love. Yaan ukiingia sehemu ambayo chaka unaweza pata wazimuu. Bora uchelewe kuingia ktk ndoa uingie sehemu sahihi
 
Leo tu nimeambiwa hayo maneno mchana na wife lakini kwa sababu ana mimba changa nimemchukulia poa tu
Ah ah ah msamehe bure. Bt if alikua anamaanisha ipo siku atayarudia akiwa hana mimba
 
Thank you darlin. Kosea kote, fanyia majaribio kokote ila sio kwenye ndoa
Yaaan my dear unaweza juta y nimeolewa hapa. Better uchelewe kuolewa uingie sehemu sahihi kuliko kuwahi unaingia sehemu matesoo tu manyanyaso mia kidogo. Ndoa ni zaidi tunavyoijua. Mungu atusaidie ktk hilo. Utakuta mtu anaomba Mungu mwenzie afe ili awe free. Mungu tunaomba rehema.
 
jana mama mtoto alikuwa analalamika mm nishavurugwa na mambo yangu nilipotoka nikamjibu kuwa "Nimechoka na haya mapenzi ya namna hii" ebanah ile kauli sikuisema nikiwa serious sana japo nilikuwa nimekasilika matokeo yake akalala sebuleni kwenye kochi na mtoto na alikataa kabisa kuongea na mm pamoja na kumbembeleza kote usiku kucha matokeo yake leo asubuhi kanichunia mpaka naondoka nyumbani sikupewa hata salamu...

Kila nikim-text ajibu na simu zangu hapokei hapa naenda nyumbani kinyonge sijui nini kitatokea maana huyu bibie hajawahi kuwa mkali hivi hata siku huu ni mwaka 3 ngononi
 
Cha muhimu ni kumuomba tu akupe "mtu sahihi". Japo changamoto hazikosekani lakini ukiwa na mume/mke uliyepewa na Mungu, ndoa yenu haitakuwa ya kawaida kawaida
 
Cha muhimu ni kumuomba tu akupe "mtu sahihi". Japo changamoto hazikosekani lakini ukiwa na mume/mke uliyepewa na Mungu, ndoa yenu haitakuwa ya kawaida kawaida
Kabisaaaa. Hata kama kuna shida neema ya Mungu itawabeba tuu. Kuna wepesi fulani mtauona
 
Pole sana. Kajieleze tuu ataelewa mueleze situation uliyokua nayo thus y ukamjibu vile. Bt ukome cku nyingine ucrudie
 
Cha muhimu ni kumuomba tu akupe "mtu sahihi". Japo changamoto hazikosekani lakini ukiwa na mume/mke uliyepewa na Mungu, ndoa yenu haitakuwa ya kawaida kawaida
We hebu usimsumbue mungu wa jf bwana, si ulishaambiwa amechoka?
 
Huyo ni dada wa kichagga alikuwa anapewa makavu?
 
Nilipojifungua mara ya kwanza nilirudi kwetu kuugua uzazi,nilimsikia mwanaume akimwambia mdogo wangu ambae alikua mpenzi wake,`mwanamke gani hata pa kushika huna,kwanza nimekuonea huruma kukutongoza"maskini mdogo wangu hakua mnene lakini pia sio mwembamba,alilia kilio cha uchungu!nilisikia nikiwa ndani wao wakiwa nje,nilijikongoja nikatoka nje,nakumbuka nilimwambia yule kaka Mungu akuweke hai na afya ushuhudie T akiolewa na mtu wa maana tena akutie kwenye shida ili ukumbuke upuuzi wako,nilimfukuza nakumwambia ntamuitia mwizi!aliondoka,mdogo wangu alikuja kuolewa tena kwa heshima.,yule jamaa yupo hapo ukonga sijui alikosa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…