Kweli Vale huwa wanahisi ujinga wao huwa hatuwezi kuutambua huwa tuna nyamaza tu,mara nyingine mtu anajitutumua na kutafuta sifa mbele za watu unakuta mwanamke analia ananyamaza aisee siku akikuchoka utaamka pumbu hazipo,Kama kuna jambo wanaume wanakosea ni kudhani wanawake ni wajinga....
Umeamua utumie Id yako nyingine mkuuOn point!
Once they [words] come out they can never be taken back.
A painful, lifelong lesson I learned years ago.
ngumi na miteke jeeeeeeeeeeeeee?Ukishaingia kwenye ndoa kubali yootee ila matusi,manyaanyaso,masimango kamwee usikubali
We acha tu,pale moyo wa uvumilivu unapogeuka kua moyo wa jiwe ni kashesheKweli Vale huwa wanahisi ujinga wao huwa hatuwezi kuutambua huwa tuna nyamaza tu,mara nyingine mtu anajitutumua na kutafuta sifa mbele za watu unakuta mwanamke analia ananyamaza aisee siku akikuchoka utaamka pumbu hazipo,
Juzi jamaa angu alikwazana na mke wandoa na wtt2 chaajabu mke alikua anatoa maneno makali sn,nanuakuu"unajifanya mjanja mtu mwenyewe fara tu huna hata kibanda kwenu maskini wakubwa,lione umefahamu kuvaa box wajiona wamaana,mtu mwenye sura mbaya ulinioa tu kwa sababu ya vihela vyako zaidi usingenipata wewe" kwali hizi mambo ziko kwa jamiiInawezekana ni kweli lakini sidhani kama ni kweli mara zote.
Wakati mwingine watu hutamka maneno ambayo hata hawamaanishi [ambayo yanaweza kupokelewa visivyo].
Mfano, hujawahi kuona watu waliokasirishana na kila mmoja akimwambia mwenzake 'ntakuua wewe'?
Kweli unadhani watu kama hao huwa wanawaziana kuuana ila huwa wanashindwa kuambiana hadi wapatapo fursa ya kupishana Kiswahili?
Kwa kawaida, mtu akishapandwa na ghaidhi akili huwekwa kando na hisia hushika hatamu.
Sasa katika hali kama hiyo, watu hujikuta wakiongea maneno mengi tu ambayo hata hawamaanishi lakini zipo nyakati ambazo hutokwa na maneno ambayo wanamaanisha.
Ugumu upo kwenye kutenganisha yepi ni yepi na ndo hapo jinsi ya yanavyopokelewa na walengwa kunaingia kwenye mlinganyo.
Kwa mintarafu hiyo basi, ndo umuhimu wa kuchunga kauli unapokuja maana huwezi jua mlengwa wako atapokeaje hicho ulichokilenga kwake.
Zipo kauli ambazo huweza kujeruhi na kuacha kovu la muda mrefu kwenye hisia za mtu. Na mtu akishakuwa na kovu la hisia ni vigumu sana kurudia hali iliyokuwepo kabla ya.
Im
Umeamua utumie Id yako nyingine mkuu
Hasira. Mtu anaongea ukwel awapo na hasira. Mm nikiambiwa kitu mtu akiwa na hasira najua huo ndio ukwel halisi. True colour inaonekana mtu awapo na hasiraNahisi kama kuna maneno ambayo Nipo weak/sensitive nayo sana ni maneno mtu akiniambia akiwa na hasira. Yani yananikaaga hapa, na honestly huwa yanabadilisha kila kitu. Mimi naaminigi mtu akiwa na hasira anakwambia vile vitu ambavyo anakuwaziaga mara nyingi ila tu huwa anashindwa kukwambia. " Life and death are in the power of the tongue"
Ahsante mpendwaHasira. Mtu anaongea ukwel awapo na hasira. Mm nikiambiwa kitu mtu akiwa na hasira najua huo ndio ukwel halisi. True colour inaonekana mtu awapo na hasira
Kuna wale mkigombana tu kidogo "let's give us each other some space", aisee me ndo nitolee hiyo,Mtu anakwambia i dnt when i wil stop loving u cz my love is not permanent. One of my frnd aliambiwa hiv.aah nikamtel achana na mtu huyo cz hajielewi. Bora umuache kabla hajakuacha. Halafu baadaye anarud anamuomba msamaha et alikua na stress x wake anaolewa. Nikamtel tupa kule mwanaume suruali huyo. Muwe makini na maneno jamn.
Uliyasikia wapi my lovely kaka? Just curiousUtasikia "najuta kuolewa na wewe.....una gubu, bahili, hunipendi"
Haya ni maneno common sana kwa wanawake
Ukiwa na hasira mpaka kuja kufikiria kukaa kimya ushaharibu zamanii, ni kipaji ati!!Ukiwa na hasira, ukizinguana na mwenzi best solution ni kukaa kimya, ukimya unaepusha mengi mnoo
Huku uswazi nakoishi na wifi yako sista, si unajua nyumba zetu mbanano hakuna siriUliyasikia wapi my lovely kaka? Just curious
Ah ah ah ah au mtu anakupa likizo ya love ah ah ah ah stupid kabisaaAhsante mpendwa
Kuna wale mkigombana tu kidogo "let's give us each other some space", aisee me ndo nitolee hiyo,
Bado unakumbuka hadi leo? Pole mwaya ulimi kiungo kidogo lakin unaweza washa moto usiozimikaMimi nishawahi Kuambiwa '''bora angenioa fulani kuliko kuja kuishi hapa na wewe, najijutia na nitajuta milele'''' niliumia sana tena sana ukicheki huyo fulani mwenyewe alikuwa ndio msuluhishi wangu.. Licha ya kujakutambua kosa lake na kuomba msamaha lakini alikuwa ameshachelewa kwani nilishakiweka kitu moyoni
Leo tu nimeambiwa hayo maneno mchana na wife lakini kwa sababu ana mimba changa nimemchukulia poa tu"Naregret sana kukuoa, kwanza sikuwahi kukupenda nilikosea tu njia, mi nilikuwa nampenda yule dada mfanyakazi mwenzangu ila sijui hata nilitokana wapi na wewe usie na mbele wala nyuma hadi nikaachana na yule dada." sijui uliniloga?" haya ni maneno alikuwa anaambiwa jirani yangu na mume wake.
Ni kweli Ndoa zina changamoto nyingi sana tu ila ukiwa kama mwanandoa panapotokea kupishana na mume/mke wako chunga sana ulimi wako maana maneno mabaya utayosema yana nguvu sana.Yanaweza punguza au kuondoa kabisa upendo kwa mwenzako.
Ndio una hasira,mwenzio kakuudhi sana ila yakupasa uchunge maneno usemayo,ni afadhali mara mia kama una hasira usiongee kabisa.maneno kama haya "najuta kuwa na wewe "au "sikuwahi kukupenda" ni maneno ambayo yana uzito sana kiasi cha kuweza kupunguza upendo au kuondoa kabisa upendo kwa anayeambiwa.
Mwanandoa chunga sana pale unapokuwa na hasira maana hasira zinaweza kuja kukuponza.
Tunalalamika sana ndoa ni mbaya ila ni maneno mabaya tunayoambiana tukiwa ndani ya ndoa ndo yanayomaliza ndoa zetu. usitegemee eti umwambie mwenzio sikuwahi kukupenda halafu baadaye ukaja kusema zilikuwa hasira kama atakuja kuwa sawa,hata ukiomba msamaha hili neno bado litamsumbua sana ni neema tu ya Mungu ndo itakuja kumuondoa na kufanya asahau na kuwa normal.
Jamani mwanandoa pima maneno unayomwambia mwenzio wakati ukiwa na hasira.Usiropokeropoke tu.
Ooooh nikajua wifi ndio huwa anayasema hayo.Huku uswazi nakoishi na wifi yako sista, si unajua nyumba zetu mbanano hakuna siri
Si ndio njia rahisi ya kutokomea.Ahsante mpendwa
Kuna wale mkigombana tu kidogo "let's give us each other some space", aisee me ndo nitolee hiyo,