Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,156
- 137,177
Hahah nilikumbuka hilo jina + kiswahili chako fulani hivi nikajua huyu ni USA baby tu. Pole kwa ban
Sijui ndo kiswahili cha ndani ndani teh , "ghaidhi, mintarafu, mlinganyo", sio maneno ambayo wengi wetu tunayatumiaHahaaa eti nina Kiswahili changu fulani hivi.....kwani Kiswahili changu kikoje, kiko tofauti? Ni cha 'Kizungu'?😉
Sijui ndo kiswahili cha ndani ndani teh , "ghaidhi, mintarafu, mlinganyo", sio maneno ambayo wengi wetu tunayatumia
Kiswahili chako kama Kiingereza cha Kiranga
No comment.Ah wapi, ni cha kawaida kabisa.
Tatizo ni ujinga wa watu [situkani mtu] na umaskini wa ujuzi wa Kiswahili tu.
Katika ubora wakoOn point!
Once they [words] come out they can never be taken back.
A painful, lifelong lesson I learned years ago.
Katika ubora wako
Kama kuna jambo wanaume wanakosea ni kudhani wanawake ni wajinga....Maneno hayo machafu ,alafu akipika unakula,anaweka maji ya kuoga unaoga ,ana lala kitandani unampandia,anazaa watoto unaita jina lako aisee ndio mana mwanamke akiamua kufanya roho mbaya inakua roho mbaya kweli
No comment.
Kama wewe nimekuweka tu kiporo na yale maneno yakoInawezekana ni kweli lakini sidhani kama ni kweli mara zote.
Wakati mwingine watu hutamka maneno ambayo hata hawamaanishi [ambayo yanaweza kupokelewa visivyo].
Mfano, hujawahi kuona watu waliokasirishana na kila mmoja akimwambia mwenzake 'ntakuua wewe'?
Kweli unadhani watu kama hao huwa wanawaziana kuuana ila huwa wanashindwa kuambiana hadi wapatapo fursa ya kupishana Kiswahili?
Kwa kawaida, mtu akishapandwa na ghaidhi akili huwekwa kando na hisia hushika hatamu.
Sasa katika hali kama hiyo, watu hujikuta wakiongea maneno mengi tu ambayo hata hawamaanishi lakini zipo nyakati ambazo hutokwa na maneno ambayo wanamaanisha.
Ugumu upo kwenye kutenganisha yepi ni yepi na ndo hapo jinsi ya yanavyopokelewa na walengwa kunaingia kwenye mlinganyo.
Kwa mintarafu hiyo basi, ndo umuhimu wa kuchunga kauli unapokuja maana huwezi jua mlengwa wako atapokeaje hicho ulichokilenga kwake.
Zipo kauli ambazo huweza kujeruhi na kuacha kovu la muda mrefu kwenye hisia za mtu. Na mtu akishakuwa na kovu la hisia ni vigumu sana kurudia hali iliyokuwepo kabla ya.
Kama kuna jambo wanaume wanakosea ni kudhani wanawake ni wajinga....
He hee! Nihonge kwanza!!Ahsante mke wangu.
Sasa lini utaongezea jina uwe 'Valentina Mugizi'?
Hebu mtafute Invisible akusababishie basi.
Kumbe!Of course, ndo mimi.
Kwani ulikuwa hujui?
Jana kuna falla alileta pekepeke nikampa uppercuts akaenda kunisemea kwa mods nikafungiwa.
USA babyView attachment 320441View attachment 320442View attachment 320443View attachment 320444.
He hee! Nihonge kwanza!!
Labda nitakuelewa kwanzia kesho msukuma weweLakini mbona hata wanawake nao huwa wanakosea sana kudhani kwamba wana uwezo mkubwa wa kuwasoma wanaume ilhali nyakati nyingine sivyo kabisa.
Mwanamke unaweza ukamlengesha kudhani kwamba anakujua vizuri kwa kumpa ishara flani flani ili afikirie hivyo, na yeye kwenye akili yake akadhani kwamba hisia zake huwa ni sahihi mara nyingi kama si zote, wakati ukweli wa mambo ni wewe mwanaume ndiye uliyempa kwa makusudi viashiria vyote vya yeye kudhani hivyo.
Sasa akishadhani na kupatia anajiona mjanja...mwerevu...na kadhalika. Hajui kwamba wewe ulimrahisishia tu kazi na kama ungetaka ungeweza kuifanya iwe ngumu vilevile.
Sijui hata kama umenielewa.....
Sawa naenda,sasa ole wako unifate!Nikuhonge nini...kwenda zako huko.
Acha woga weweKama kuna jambo wanaume wanakosea ni kudhani wanawake ni wajinga....