Chumvi, Sukari+++ kupanda bei ni aibu kubwa...!!!! Shame on you leaders

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Jamani Chumvi na sukari vinapanda bei??

Vitu vinapanda bei, je mishahara imepanda?

Kama kuna mfumuko wa bei, na mishahara imeongezeka??
 
Mimi nafikiri umefika wakati sasa kwa watanzania kugoma kuendelea kupelekwapelekwa kama mizigo. Hali hii mpaka lini hasa?
 
Mkuu kweli hii ni Aibu..! hata kama wakipandisha mshaara doesn't make a sense if wameshindwa ku-curb inflation...!! Ugumu wa maisha utaendelea kuwa vile vile..! Inflation bongo inatisha, yani hatuna tofauti na zimbabwe wkt hatuna vita, njaa au serious conflicts so why this..!! Hii yote inatokana na matumizi mabaya ya hela haswa wkt wa campeny na kuwalipa mafisadi hela wasizostahili hata robo...!! Nadhani its there time to go wasisubiri tuwafukuze caz they will be the bigger LOSSERS:sick:
 
Hao viongozi hawawajibiki wala hawaoni uchungu kwa sababu wana pesa nyingi walizopata kwa njia za kifisadi, pia wanaishi kwa kodi za wananchi. Kama maumivu ya mfumuko wa bei hayawapati, hawatakosa usingizi. Dawa ni maandamano ili waishi kwa wasiwasi, wakitaka kwenda supermarket au disco wakose pa kupita.

Ni aibu sanaaaaaa

Angalau wangefanya mchakato ili iwe ni vitu vya anasa tu vinapanda bei. lakini inauma sana unakuta kiberi, chumvi, sukari, mafuta ya kupikia yanapanda bei.
 
Wananchi fungeni mikanda tujenge Taifa Letu changa.
Tuvumiliane kwa miaka 5 tu mambo yatakuwa shwari,

Msiwasikilize chadema in Vizabizana na wachochezi
Tudumishe Amani na Utulivu
 
Nani wafunge mikanda?? Wafisadi waanze kufunga mikanda tuone mfano.

Au ndugu yangu Tanzania hakuna ufisadi??
 
Ninafurahi vinavyo panda hata mara mia ya bei ya awali ili wale waliopewa kanga, kofia, scafu n.k waweze kulipia hizo gharama kwa kushirkiana na wengine tuliokuwa tunawapinga. Watanzaia wakianza kula majani ndipo watakapojua kuwa CCM ni kansa ya damu. Hongera mfumuko wa bei endelea kwa kasi vijana tupo nyuma yako.
 
Akina muogomutamu and co.wanaweza kusema ni mafanikio ya Jk. Yan Tanzania hii we acha tu.
 
Wananchi fungeni mikanda tujenge Taifa Letu changa.
Tuvumiliane kwa miaka 5 tu mambo yatakuwa shwari,

Msiwasikilize chadema in Vizabizana na wachochezi
Tudumishe Amani na Utulivu

Mie nilichagua dini si Maendeleo,acha chumvi ipande nasubiri kadhi
 
Shame on leaders...acheni upuuzi. Market forces zinahusika vipi.. We si mtanzania tena uko darisalama mmezungukwa na bahari.. nenda ka vune chumvi upeleke sokoni ili 'supply' inongezeke ipunguze bei. Watu bwana... siasa zakina Chairman Mao walionyea kambi na kusababisha maaafa makubwa kwa watu wao ndio hizi. Radicals never achieve anything because they are too steamed up to use common sense.
 
Wananchi fungeni mikanda tujenge Taifa Letu changa.
Tuvumiliane kwa miaka 5 tu mambo yatakuwa shwari,

Msiwasikilize chadema in Vizabizana na wachochezi
Tudumishe Amani na Utulivu

Ndio kauli za CCM na serikali yake baada ya kutuona wananchi ni mazoba. Hivi amani na utulivu vinaweza kuwepo kama wananchi wanalala na njaa? Wanalazimishwa kufunga mikanda? Wanadanganywa tu kwamba taifa letu ni changa na masikini wakati ni miaka 50 baada ya uhuru na tuna utajiri mkubwa kama vile madini, na utalii? Kweli CCM inazeeka vibaya kama akina Makamba na JK! Ujinga wa watanzania walio wengi ndio mtaji wa CCM, sasa wameshindwa kwa hoja wame- introduce sera ya udini ambao haupo!!
 
Halafu jamaa yetu yuko Davos anakenuakenua na kufanya shughuli za kiajabuajabu zisizokuwa na kichwa wala miguu... Mfano jana alikuwa na kazi ya kutembelea Mkapa (!!)huko Davos na kumualika aje Tanzania (!!) December kwenye sherehe ya kusherehea miaka 50 ya uhuru wa TZ (!!)
 
Back
Top Bottom