manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Hiyo inaitwa naturekujisaidia porini
Hiyo inaitwa naturekujisaidia porini
Wewe ukishaona kitanda tuu unawaza matusi
wengine tunawaza kulalani nnje hapo ndugu, labda kumpelekakuingiza demu inaruhusiwa??
Mkuu kazi kuu za kitanda ni mbili; moja ni kulala na ya pili ni kufanyia matusi..Wewe ukishaona kitanda tuu unawaza matusi
Akiona kichaka tu tako moja linawashwa maviWewe ukishaona kitanda tuu unawaza matusi
Kuna vichaka pembeniMaliwato yao yapo sehemu gani? Bafu jee?
Au Ndo utawala binafsi?
hiyo usiku lazima wanaweka mahema kwaajiri ya mvua hata wadudu wanaotambaa kama nyoka ni kama camp kama ushawai kwendaMvua ikija je?
hakiwezi kuwa chumba bila KUTA.......sema kitanda cha hoteli kilichoko NJEKinapatikana milima ya Alps, nchini Swiss! Kulala hapo usiku mmoja ni dolar za marekani 260.
Vituko haviishi duniani.
View attachment 864091
View attachment 864093
View attachment 864094
Note:
Mimi hunilazi hapo hata kwa jero ya Tz.
Mean while; Snoop Dog awatolea uvivu.
View attachment 865924
Haaaaa 😂 😂 😂 haaaaaWewe ukishaona kitanda tuu unawaza matusi
Kitanda cha hotel kinakuwsjehakiwezi kuwa chumba bila KUTA.......sema kitanda cha hoteli kilichoko NJE