Chumba cha Hoteli kisicho na ukuta

Chumba cha Hoteli kisicho na ukuta

Nawaachia advecha yao hao wazungu Mimi mswahili wa temeke vimenishinda kwakweli
Mbona bado mdogo wewe, umri wa kujifunza mambo mapya bado haujkupita bana

Kwani hata waswahili wa Temeke si wanavigodoro vyao? Watemeke wanaenda kumwaga radhi Tegetaaa, anawajua nani huko😛

Maisha ndio hayahaya Beef Lasagna
 
Hapo ungekuta kuna jamaa kakaa kule kileleni kabisa anajidai kupunga upepo na huku kama haangalii hapo kitandani
 
Sipati picha hiyo baridi kwenye hicho chumba, tena mlimani.. silali hapo hata bure
 
Sasa chakula cha baba kitaliwaje hapo au kutiana matatani..
 
Back
Top Bottom