Chumba cha Hoteli kisicho na ukuta

Chumba cha Hoteli kisicho na ukuta

squirtinator

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
2,765
Reaction score
4,190
Kinapatikana milima ya Alps, nchini Swiss! Kulala hapo usiku mmoja ni dolar za marekani 260.
Vituko haviishi duniani.

20180912_160353.png


20180912_160317.png


20180912_160257.png


Note:
Mimi hunilazi hapo hata kwa jero ya Tz.



Mean while; Snoop Dog awatolea uvivu.
20180914_111858.png
 
Kama kingekua bongo hiki si misele ingekua haiishi kwa wapiga chabo na wapiga puli
Hapa pangekuwa na misele mingi sana. Hapa bongo kwa gesti hausi tu ukijulikana ima viupenyo wazee wa chabo hawachezi mbali.
 
Hicho ndio chumba bhana...Oxygen ya kutosha,pia full kujivinjari

Siku nikanunua Ranchi ni muhimu chumba kama hicho kiwepo

Hapo wangeweka na bkanketi color less kabisa
 
Upepo wa hapo hata Serena hotel/Hyatt hotel huupati!
 
Back
Top Bottom