O Olive Member Joined Jun 25, 2011 Posts 88 Reaction score 9 Oct 16, 2011 #1 Wadau habarini za w/end,mwenzenu natafuta haswa chuma na mabati kwaajili ya kumimina zege la juu(slab)wapi naweza kupata za kukodisha kwa hapa arusha?
Wadau habarini za w/end,mwenzenu natafuta haswa chuma na mabati kwaajili ya kumimina zege la juu(slab)wapi naweza kupata za kukodisha kwa hapa arusha?