CHUMA CHAKAVU: "Mishangazi" Mjini

Hapo kwenye mguu ameungua na nini, au ndio uchuma chakavu wenyewe?
 
Alafu Mshana Jr nilikuwa napata kilaji hapa mitaa ya mbezi na washkaji zangu.. ambao naobni member wa jf wanasema ww kama BUYOBE tu..
Nimeumia sana
 
Ila vijana wa sasa wa hovyo sana, kuoa watu wa umri wao hawataki wanasema ni mishangazi same time wanaisifia mishangazi imenyooka(kudate sio kuoa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…