π π π π , onhooo huyo sikuwa mimiHadanganyi babe niliona mwenyewe selfika umevaa ka chen fulani hivi rasi zipo mgongoni Bismillah MashaAllah π
Niambie skin keyaa unayotumia nikijipata ninunue
Intelligent businessman una hoja usipuuzwe na huyu binti shikilia hapo hapo
Naona unacho fanya hapa, pass fulani hivi π.Safiiiiπ₯π₯π₯
Fanya kweli π
Mhh kazeeka na utamu wake
mimi sio black ni mweusiπ π π π , onhooo huyo sikuwa mimi
π π π nina skin keyaa basi? Kwani wewe ni black kama mimi?
Anajua pa kushikilia mwenyewe πββοΈπββοΈAshikilie wapi tena πββοΈπ
Ana jidai la 4 B mi nachukiaπ€£π€£
Napenda style yake, as long as ataelewa sijali itanichukua muda gani πAna jidai la 4 B mi nachukiaπ€£π€£
π₯π₯π₯πNapenda style yake, as long as ataelewa sijali itanichukua muda gani π
Duuh hatari sio kidogoNo Vaseline
Kiziwi halafu kipofu π
Kama mimi tu π basi huenda yakakufaa piamimi sio black ni mweusi
π π π aangalie kamba isije kukatikaAnajua pa kushikilia mwenyewe πββοΈπββοΈ
Wana niita the lonely lord, jichanganye niwe deity kabisa πKiziwi halafu kipofu π
Hayo madubwasha yana watu wake sio ya kila mtu usije ukaishia kuaibika yaan kwanza ukienda kichwa kichwa unaweza ukashangaa mashine imeishiwa mafuta na imegoma kuwaka mpaka unajiuliza au umerogwa wakati huuo mamakubwa anakuangalia usoni kiroho kinakudunda vaa separateHapo ukiwa na kiba100 hutoboi
Mishangazi ni kuanzia 30 mkuu
Chukua code hiyo mkuuSikua najua hii mkuu! π