"Huyu ni Mimi kabisa sijui ni ni nafanya hapa coz nyumba niliyoijenga Kwa nguvu kubwa imeanguka ghafula na wanafamilia wamefundishwa uasi"View attachment 2522424
Jisamehe kwa kukaa muda mrefu wakati ulipaswa kuondoka ...
Weeeeeeh !!! Hawa was Sasa ndio wanakuitia kaburi ili wawe huru!