shaks001 JF-Expert Member Feb 6, 2014 1,246 1,070 Jul 10, 2016 #6 Na huyu anahesabiwa amepost thread. Basi sawa!
GIUSEPPE JF-Expert Member Dec 31, 2011 5,239 6,218 Jul 11, 2016 #7 hii wallpaper kwa dar haifai, barafu itayeyuka yote. labda tuiweke kwenye friza.
Rosweeter JF-Expert Member Oct 28, 2010 1,171 4,432 Jul 11, 2016 #8 Mhhhh.... nikiiweka kwenye simu yangu, kila nikiiangalia nitahisi air pollution imetokeza mpaka nilipo. Hapa kwenyewe nimeshaanza kupiga chafya
Mhhhh.... nikiiweka kwenye simu yangu, kila nikiiangalia nitahisi air pollution imetokeza mpaka nilipo. Hapa kwenyewe nimeshaanza kupiga chafya