Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,833
- 6,889
tsk stupid thedi
TWAWEZA ni muunganiko wa visiwa vya Zimbabwe na Tanganyika visiwani.
Za kuambiwa changanya na zako...
mi nakushusha then nakupandisha unabaki kuning'inia tu mama.
Nikimnunulia ka Raum na kanyumba Kinyerezi pale roho haitakuuma??Yupo tu, unamtaka?
Kwa mistari hiyo, atakuchoka kama watanzania tulivoichoka ccm
Nikimnunulia ka Raum na kanyumba Kinyerezi pale roho haitakuuma??
Kwa hizo swaga za kichekechea??
Teh Teh ...Teh