Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Asante sana ila umemsahau mtu mmoja ambaye anakuvutia waya.......
 
Salaam zako nimezipokea ewe kipenzi cha wengi, na kwa wema nazirejesha tupate na kukuenzi, si wote ulioita wapo na wengine wengi nasi tumekuitika tuzidishie mapenzi.
Nami zangu natuma kwa hawa wanaovuma hata wale walokimya.
Ahsante sana headmistress wa Jf To yeye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom