Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Kusingizia wengine hujaanza wewe..!! Yaani tumerithi..!! Adam alisema Eva ndo sababu ya kula tunda, na Eva naye alisema nyoka ndo tatizo..!! 😂 😂 😂 😂Yote haya kayasababisha mtoa uzi
Kusingizia wengine hujaanza wewe..!! Yaani tumerithi..!! Adam alisema Eva ndo sababu ya kula tunda, na Eva naye alisema nyoka ndo tatizo..!! 😂 😂 😂 😂Yote haya kayasababisha mtoa uzi
😀😀yes babe mapema kabisaTuanze na misa ya saa 12 asubuhi
niulize tena 🤗Haukutaka kabisa kujibu swali langu
Kwa dhambi hii ya mawazo, wallah nendeni jimboni kabisa..!! 😂 😂 😂Tena twende parokiani kabisa sio kigangoni😅
Ili uungedot acha tu kama nilikuuliza zaidi ya mara 3 hukujibu sembuse nowniulize tena 🤗
Au Vatican kabisa, yaani tusafishwe vema tukirudi huko full mabaraka tunakua good girls 🥰Kwa dhambi hii ya mawazo, wallah nendeni jimboni kabisa..!! 😂 😂 😂
Aaaa jamani we ulisikia wapi mtu ana email address ya baba aliye juu zaidi yangu basi mimi ni mtakatifu sana NIAMINIIIIAah wewe sikuamini
Barikiwa sana proton pump ...Niko poa sana
Sema nini, sasa hivi wote wapo Vatican, kasoro Pengo yeye yupo, akawaungamishe..!!Jimboni😀😀tukutane St.Joseph mapema kabisa
Sister umekuja 😂😂😂 nilikusahau but kuona reply yako ni amani toshaBarikiwa sana proton pump ...Niko poa sana
😘😘😘😘santeeKwahiyo tuseme, Bantu Lady mshikaji wangu hutaki kutuma salamu? Shemela Evelyn Salt umenitenga..!! Wapi dada To yeye mic huku zipo nje nje kwa kutuma salamu, kamata yako utume salamu..!! We Nakadori kwani kuchukua mic utume salamu kuna shida yoyoye..??? Mamndenyi kamata mic kubwa kubwa utume salamu kwa wengi
😂😂sor sikuwepo hewani wangu,uko poa lakini?Sister umekuja 😂😂😂 nilikusahau but kuona reply yako ni amani tosha
awapi, kwa Mic gani 😏😅😋😋 ngoja aje aseme




sawa bhana 😌Ili uungedot acha tu kama nilikuuliza zaidi ya mara 3 hukujibu sembuse now