Chukua MIC na utume Salamu

Chukua MIC na utume Salamu

Sijui ni msalimie Nani hata. Watu8

Shukrani mkuu, salamu zikufikie nawe pia popote pale ulipo juu ya uso wa nchi...

Umenikumbusha kipindi cha zamani sana RTD kikiitwa "Wakati wa Kazi", enzi hizo watu wakitumiana salamu, ni mida mtaani unaanza kupata harufu za misosi ikipikwa kuelekea mchana...
 
Nisiwachoshe msinichoshe Salamu zingine ningependa zimfikie UMUGHAKA na Ally mpemba na Jinn Farah sijui Farhat na bodaboda wote wa Bunju 😁 salamu zingine zimfike SteveMollel bado kalala ana block watu 😁vp au Amiri kafanya yake 😂 salamu zingine zimuendee pettymagambo Mafisango Chama nasema lolote limkute na Yunge wake hawezi kutuacha na arosto 😂
😂😂
 
Kama mwasisi wa uzi huu napenda kutuma salamu kwa Maxence Melo Active huyu bwana kujisikia sikia Mhariri na mwenzie Moderator
Kuna hawa hapa Bridger Paw Na staff wengine wote msisite kutuma salamu pia mtupe option ya kupinga mageuzi ya heading huyu alie andika heading tena nahic kaishia la 7 kabisa naombaniwe Chukua MIC tuma salamu

Mnizooeee mimi ni kijana msema kweli kazi njema ya kufuta thread na kupike PM zetu
 
Lenie chukua hela hapo mezani, Kisha muite mpwa wangu Leejay49 , mwambie aende kwenye duka la mangi Gily anunue mahitaji ya leo. Patakuwa na ugeni mkubwa sana, maana Joannah kasema anamleta rasmi Equation x aje tumtambue, kwa maelezo niliyopata, huyu mkwe wetu ni mchanganyiko wa mbegu ya kiafrika na ulaya, kiufupi ni Half american , amesoma, anaelimu nzuri ya biashara, vijana wa mjini wanasema ni Intelligent businessman , sio maneno yangu hayo ni To yeye mwenyewe ndio kasema.

Hakikisha taarifa zinafika kwa majirani zetu Lovie Lady na Nourhan ili waje kusaidia kupika, maana Lovelovie peke yake hatoweza. Ila usialike watu wengi, Watu8 wanatosha. Mwambie Mzee wa kupambania ahakikishe tunapata matent, maana mvua inaweza kunyesha.

Pia kama una namba ya Depal plz mpigie, nasikia ni mpambaji mzuri sana. Ila usisahau kumkubusha Dejane aje in time, aje na dada yake Nuzulati , kuhusu Antonnia Sina shaka, maana yeye ndio mc.

Amehlo na Shunie nimesikia watakuja na upande wa mume. Dahan ni camerawoman leo, mwambie apige picha nzuri, na kuhusu malipo yake, asijali because I am The Boss
Mamaaaae umeua 🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom