Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?

Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
604
Reaction score
1,236
Chukua hii Unapojenga gholofa je umwage nguzo kwanza au uanze tofali kujenga kwanza ndipo umwage nguzo?

karibu chukua hii mbinu moja ya ujenzi ya kupata kitu cha kisasa na bora hasa kama unajenga gholofa.
Unashauriwa umwage nguzo kwanza.
kwanini
sababu ni kwamba ili cement ifikie ubora wake ni lazima ipate curing ya siku zinazohitajika.
Sasa ukianza na nguzo zitapata uimara na nguzo zitafikia ubora wake ila ukianza kujenga tofali kwanza na kwenye kona au kati ya tofali ndipo umwage nguzo kuna upande wa nguzo hautapata maji ya kutosha

Kama mchoro umerazimisha uanze tofali kwanza basi anza la sivyo hii ndio njia ya kisasa na rahisi kupata uimara sahihi
asante.
Eng James

Karibu sana mkuu!

Huduma zetu ni kama zifuatavyo:
-Tunachora ramani za Nyumba
-Tunaandaa Bill of Quantities (BOQ)
-Tunafanya Interior Design
-Tunatoa ushauri juu ya ujenzi (Consultancy)
-Tunasimamia ujenzi wa nyumba

Huduma zetu zote ni za bei nafuu na himilivu!
0743257669

Angalia baadhi ya kazi zetu hapa
 
Back
Top Bottom