rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
Unakuta mnakua karibu na mwanamke, basi usipoonesha interest kwake na kuanza kuwa karibu na mwingine urafiki unageuka kua uadui mkubwa sana tena wa hatari.
Ukipita msunyo, mara utamaliza mtaa mzima.
Kwahiyo ni lazima kupenda hata pale usipo penda??
Ukipita msunyo, mara utamaliza mtaa mzima.
Kwahiyo ni lazima kupenda hata pale usipo penda??