Chuki za kidini Bangui- C.A.R I, nani mchonganishi?

Chuki za kidini Bangui- C.A.R I, nani mchonganishi?

Tango73

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2008
Posts
2,227
Reaction score
1,362
Hivi sasa hapo Bangui central africa- jamii ya kiislamu na kikisto hawaivi kabisaa. wanchinjana na kuharibiana mali utazania ugomvi wa mamba na simba kuvutania shingo ya nyati. sasa cha kujiuliza ni nani mchonganishi?

Mchonganishi ni mataifa ya kiislamu ya Chad na Sudan kupeleka jihadists Bangui ili kuutoa madarakani utawala wa mkristo kinguvu na kuweka muislamu atawale . Nchi za kiarabu nazo ni za kulaumiwa sana maana bila kutoa pesa na kununua siraha kali kama walizotumia sereka lebels, wasingeweza kuuuangusha utawala wa Bosize.

Ufaransa ilimepeleka majeshi yake Bangui baada ya siri kuu ya Chad na Sudan kujikana mara moja. matokeo yake raisi michael Jodotia kakimbia nchi, majeshi ya kukodiwa ya jihadists kutoka Chad na Sudan nayo yamekimbia.

Waislamu wachache nchini humo wameachwa wakiwa hawana ulinzi na anti baraka wanazidi kuharibu mali zao.

Nini kifanyike sasa?

Ni vizuri mama Panza akamteua makamu wa raisi muislamu ili waweze kwa pamoja kuongea na wanajamii hizi mbili zinazouana kila kukicha. wewe unasemaje? naomba maoni yako tafadhali
 
Maoni yangu ni kuwa CCM wakishatugawa kidini wasidhani wao watabaki salama...
 
Yaani ilibakia kidogo tu!,waitumbue nyongo ya chuki za kidini kwa kukosa Sera za kwenye majukwaa ya siasa.Ccm hawafai kabisa!.
 
Usiangalie kwa jicho la chuki dhidi ya uislamu.tatizo hili limesababishwa na wafaransa kwa kuwapa fursa wakrito hapo awali na wnyw kujiona wa haki kuliko waislamu,huo mgogoro siyo wa leo
 
Usiangalie kwa jicho la chuki dhidi ya uislamu.tatizo hili limesababishwa na wafaransa kwa kuwapa fursa wakrito hapo awali na wnyw kujiona wa haki kuliko waislamu,huo mgogoro siyo wa leo

kwani kama wafaransa walitoa izo fursa ndo nchi za kiislam zinahaki ya kusuport machafuko au we hoja yako ipowap. kunanchi tunashuhudia zinautawala uliojazwa na wafuasi wa kiIslam japo imani zingine wapo si rahisi kutokea machafuko japo manyanyaso yanaweza kuwapo. ushauri wa kuvumiliana na kukubari hali halisi ndo unafaa. mfano zenj ushaona wakristo wanataka nafasi sawa serikalini au popote
 
walichofanya hawa islamists CAR ni kama vile wazenji wakristo kupindua nchi kwa msaada wa nchi za kikristo (kama zipo) na kutwaa madaraka kwa sababu tu ya ukristo wao, halafu baada ya hapo wategemee waislamu wawe poa tu.
 
Hilo la kusema kuna nchi za kiislamu znawasaidia seleka ni uzushi na km unaushahidi uweke tuuone
 
chad ni mojawapo ya nchi ya kulaumiwa-waliwapa silaha sekela rebels na kuwajaza ujinga-wakamshinda rais aliyekuwepo kwa kuwa alikuwa na jeshi weak-lakini seleka walishindwa ku-forecast outcome ya mapinduzi yao-huku waki-ignore tofauti ya idadi ya muslim na christian-ni bora ant-seleka wawapige seleka kadri wawezavyo-
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom