Chuki ya wanawake kwa wanawake inatokana na nini haswa?

Wanawake asilimia kubwa tumetawaliwa na roho mbaya na wivu usiokua na sababu ......sipendi kwenda ofisi Fulani nikamkuta mwanamke mwenzangu ...naweza ahirisha nlichokiendea
Wenzio wanaikataa hyo hali.
 
Sidhani kama ni kweli kwamba Wanawake wana chuki dhidi ya Wanawake wenzao klk Wanaume walivyo na chuki dhidi ya Wanaume wenzao, sioni ushahidi wa unachokisema kwani Wanaume wengi wanauliwa, kuumizwa, kuibiwa, kudhurumiwa na Wanaume wenzao na siyo Wanawake hivyo kama ni kweli kwamba Wanaume wanapendana basi Jela wangeajaa Wanawake waliotendwa na Wanawake.

Isitoshe Wanawake hata wana uwezo wa kujenga urafiki baina yao klk Wanaume, ukiangalia Wanawake wengi wana marafiki wa kweli ambao Wanawake wenzao ambao huwa nao wakati wa shida kuliko Wanaume!
Bila shaka wewe ni mwanamke
 
Mmekariri tu na mkawaaminisha wanawake hivyo, hivyo hata likitokea la kutokea kwasababu za kibinadamu tu mnahitimisha hivyo. Mbona wanaume wanaongoza kugombana,kuchukiana hata kuuana wao kwa wao.
 
Ingekuwa ni kweli basi Jela ingejaa Wanawake ambao wametendwa na Wanawake wenzao, lkn ni kinyume chake, kwanza Wanawake wanaopigania Wanaume ni wachache sana kulinganisha na Wanaume kwa Wanaume wanaopigana na kudhuriana shauri ya Mwanamke!
Usiangalie kutendwa tu, tunazungumzia mzunguko mzma wa maisha kwa mwenendo wa tabia ilivyo wanawake kwa wanawake...

Mim sijataka kusema kuwa ni wote hapana ila asilimia kubwa wapo hvyo..

Wanaume kuwa jela, pia inaweza tokana na wanawake juu ya wanawake wenzao kwa wanaume.
 
Nimekuelewa lkn bado sioni ushahidi wa hilo, mimi naona kuna Wanaume wengi wanaoingia matatizoni kuliko Wanawake na matatizo yao yamesababishwa na Wanaume wenzao, kama nilivyosema nimekutana mara chache sana na Wanawake wakigombana shauri ya Mwanaume lkn ni kawaida kukuta Wanaume wakitoana ngeo au hata kuuwana shauri ya Mwanamke!
 
Mmekariri tu na mkawaaminisha wanawake hivyo, hivyo hata likitokea la kutokea kwasababu za kibinadamu tu mnahitimisha hivyo. Mbona wanaume wanaongoza kugombana,kuchukiana hata kuuana wao kwa wao.
Fungua uzi kuhusu wanaume watakuja
 
Sijaelewa hata hiyo kichwa cha habari na yaliyomo ndani kama yanahusiana.

Kuhusu kwenye hizo daladala mie naona kwa kuwa mshajua wanawake ndio tupo hivyo ni vyema nyie wanaume mkazidi kuwa na mioyo ya huruma ili aibu yetu ipate kufichika.

Sababu ikitokea mwanamke mwenye mimba sijui mzee kasimama halafu we mwanaume unampisha akae haitokaa zikaonekana roho mbaya zetu.
Well said.
 
Mwalimu wangu mmoja alikuwa anasema mkeo na mama yako wakipendana ujue unakaribia kufa( kuna vitu wanataka wakufanyie ndo maana wako pamoja).

Anasisitiza ili uwe salama lazima wachukiane.

Hii ni toka uumbaji hawa ndugu zetu wako hivyo!
 
Sijaelewa hata hiyo kichwa cha habari na yaliyomo ndani kama yanahusiana.

Kuhusu kwenye hizo daladala mie naona kwa kuwa mshajua wanawake ndio tupo hivyo ni vyema nyie wanaume mkazidi kuwa na mioyo ya huruma ili aibu yetu ipate kufichika.

Sababu ikitokea mwanamke mwenye mimba sijui mzee kasimama halafu we mwanaume unampisha akae haitokaa zikaonekana roho mbaya zetu.
Mbona kama unajibu kwa kebehi xana?
 
Back
Top Bottom