Chuki ya wanawake kwa wanawake inatokana na nini haswa?

Wanawake hatupendani,tena tuna wivu na chuki zisizo na sababu,na mara nyingi ukichunguza unakuta anayekuchukia umempita maisha kwenye kila kitu!akikuona anatamani akumeze.
Kwenye masuala ya huduma mfano hotelini au bar unaweza ukafika ukachelewa kupata huduma kwa kigezo tu we ni mwanamke hii inanikutaga mara nyingi haukaribishwi vizuri kama wanaume wanavyofanyiwa.Wivu na husda ndo zinatusumbua.
 
sasa mwisho wa siku mnakua mnatupa shida sisi tunaowazunguka jaman kwa nn mnakua hivo.
Mi sijui naenda hii hali nairekebisha kidogo ,,mim huwa najishusha chini lakin pia inategemea na kosa kuna makosa yakivuka mipaka sitskusemesha nikikukuta na wengine nasalimia wengine we nakuacha ,tunavinyongo vikali sana nadhani
 
Yamenikuta hayo nikiwa na wife tukila hotelini. Nimehudumiwa vizuri bibie sasa kahudumiwa kama ameomba msada hiko chakula
 
Mi sijui naenda hii hali nairekebisha kidogo ,,mim huwa najishusha chini lakin pia inategemea na kosa kuna makosa yakivuka mipaka sitskusemesha nikikukuta na wengine nasalimia wengine we nakuacha ,tunavinyongo vikali sana nadhani
na hili nae ajue kama umemtema kweli kweli ndo unapita karibu yake kabisaa na hata sura humuangalii..........daaaahh.....Mungu awaponye
 
Hili nimeliona sana hata sehemu za starehe kama Bar, nikiwa pekee yangu wahudumu hufika mezani mara moja na tabasamu pana kunisikiliza na kunihudumia, wakati mwingine hugombania kabisa kunihudumia.

Balaa sasa niambatane na mwanamke mwenzao, mpk meneja wa bar aitwe tumshtakie ndiyo mhudumu hufika tena akiwa kanuna ile mbaya au huagiza muhudumu wa kiume kutuhudumia, hawa viumbe ni shidaah.
 
Wanawake hatupendani,tena tuna wivu na chuki zisizo na sababu,na mara nyingi ukichunguza unakuta anayekuchukia umempita maisha kwenye kila kitu!akikuona anatamani akumeze.
Kwenye masuala ya huduma mfano hotelini au bar unaweza ukafika ukachelewa kupata huduma kwa kigezo tu we ni mwanamke hii inanikutaga mara nyingi haukaribishwi vizuri kama wanaume wanavyofanyiwa.Wivu na husda ndo zinatusumbua.
Kuna siku sisi tulihama hiyo hotel na tukawachamba juu wanahudumia wanaume tu sisi tumefika tunaangaliwa tu
Hasa wakioma mzungu shogaa ataenda kusikilizwa kwanza mzungu nyie msubiri
 
Ugomvi mwingine wa hawa viumbe ni inapokuja mke kukutana na Dada wa mume wake yaani mke na wifi zake, huu uhusiano unanikera mpk wakati mwingine natamani nisingeoa kabisa.
 
Wanawake asilimia kubwa tumetawaliwa na roho mbaya na wivu usiokua na sababu ......sipendi kwenda ofisi Fulani nikamkuta mwanamke mwenzangu ...naweza ahirisha nlichokiendea
 
Kuna siku sisi tulihama hiyo hotel na tukawachamba juu wanahudumia wanaume tu sisi tumefika tunaangaliwa tu
Hasa wakioma mzungu shogaa ataenda kusikilizwa kwanza mzungu nyie msubiri
Mie nimeshahama sana! Unafika hotel unakaa hadi dk tano huoni anayekusikiliza meza yako wanaipita kama hawajaiona shenzy zao kabsa sijui wanafikiri hatuna pesa za kulipa au ni wivu tu unawasumbua.Ndio maana napenda kuwashaur wamiliki wa hotel waajiri tu wakaka maana wengi wako very humble,sidhan nao kama wanawaletea pozi vidume wenzao.
 
Kazi kwelii
 
Back
Top Bottom