Queen Kyusa
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 663
- 162
I'm speechless!
Ben,Wewe ni Extrimist na CDM wasipokudhibiti ipo siku utingiza nchi yetu vitani na majirani zetu.Leo nimethibitisha kwa wale waliodai una chuki na wazungu kwenye ule uzi unaohusu message ya Assad kwa Tanzani na jinsi ulivyomtetea na kulaani wazungu.Kumbe ndiyo maana ukiwa chuo ulikua na sifa hii ya kugombana na watu wa mataifa mengine hata darasani kwenye mihadhara kwa sababu tu wameongea negative kuhusu Tanzania?naanza kumuamini Eddah kishimba kauli na Matamko yake juu ya extrimism yako.Be moderate my young brother.Maextrimist wengi waliishia kuwa kama Hitler na Julius Malema
Wewe nawe unaboa!