Chuki ni sumu

Ahahaha..hapana.
Sijawah mfanyia kitu kikuubwa hivyo ila nafikiri she is that way. Kuna mambo niliyapuuzia sana toka mwanzo. But the woman ni mtu ambaye moaka namuoa, nilimkuta na nimemuacha bado anachuki hata juu ya baba yake mzazi!. Hata kwenye harusi yetu wala sendoff yake hakuhudhuria.

Nafikiri ana shida tu hiyo
 
Hahah kumbe ni mambo ya laana za ukoo wake, ana chuki na gubu kajitwika mizigo mizito sana!
 
shida moja ya wenye chuki huwa wanakuwa na furaha pale atakapo hakikisha unadhalilika ila mambo yakienda nje ya matarajio yake chuki huzidi mara dufu.
Isingekuwa suala la watoto ungebadilisha laini.
 
Chuki ni mbaya ila usivumilie udhaifu binadamu hawana huruma watakuua huku wanatabasamu😁
 
Nasoma comments tyuuh mie. Ila naunga mkono hoja.
 
Poor br
Hata humu jf kuna mijitu ina chuki .
Kuna mtu niliwahi gombana nae et kisa kila comment naweka emoj ya kucheka...

End of day nikaja kummega ndo hapo kasheshe ikaanza zaidi

Poor brain kwenye moja na mbilii😂😂😂😂
 
For sure, maosha wakati mwingine yanahitaji jino kwa jino.Usinizoee wala usiniletee unafiki,ujinga na usiingie anga zangu kama uliwahi nifanyia ubaya na nikaujua,ohooo nakumaliza.
Auaye kwa upanga,atakufa kwa upanga.Sasa jifanye mwema wa kusamehe,wa kuacha yu watu wanakuumiza,wanakufanyia chinichini halafu wewe unakuwa Yesu.
Dunia haina watu wema tena,ila usiache kutenda wema.
Chuki ni mbaya ila usivumilie udhaifu binadamu hawana huruma watakuua huku wanatabasamu😁
 
Dunia ya sasa hasa nchi za kiafrika ukiangalia kwa jicho la tatu tupo km wildlife mwenye nguvu ndie ana survive

Sasa we jifanye mwanafunzi wa Yesu
Watakopa pesa hawatarudisha
Watamuita wife shem then watamtomba😅

Choose your circle wisely and suspect each other
 
Sure sure
 
Asante kwa ujumbe huu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…