Mkuu umeandika uzi mzuri mpaka nikakumbuka ile JF ya enzi zile.Chuki ni mzigo usioonekana unaokula nafsi kimya kimya
Kuna uchungu wa aina fulani huwezi kuupiga picha. Uchungu wa mtu anayebeba chuki moyoni...
Chuki haina kelele, lakini ina sumu...
Ni moto unaowaka ndani kimya kimya, ukiunguza kila chembe ya amani uliyonayo.
Ukimchukia mtu si yeye anayeteseka ni wewe...
Yeye anaendelea na maisha yake, anacheka, anafurahi, hata hajui unavyohisi..
Lakini wewe... kila ukimuona, moyo unaenda kasi Ukisikia jina lake, hasira inakujaa.
Ukiona mafanikio yake, unajisikia uchungu na mpweke.
Chuki haimbadilishi yule unayemchukia. Inakubadilisha wewe. Inakufanya ushindwe kupumua kwa amani.
Inakufanya ushindwe kusamehe. Inakufunga kwenye gereza la hisia zako mwenyewe.
Ni kama kunywa sumu na kutarajia mtu mwingine afe.
Mioyo yetu haiwezi kuhifadhi chuki kwa muda mrefu bila kupasuka.
Kwa hiyo, unapobeba chuki ni nafsi yako unaiadhibu, naua furaha yako, unasumbua akili yako, unachelewesha safari yako.
Wengine wanaweza wasistahili msamaha wako. Wewe unastahili amani yako.
Na mara nyingine, njia pekee ya kuipata… ni kuacha kubeba chuki. isiyo na maana
Abuuabdillah ✍️
0744883353
Hakika ametukumbusha jambo jema, chuki ni sumu kali sana inaua polepole, inadhoofisha kila kiungo, moyo uliobeba chuki unafubaa na kusinyaa.Mkuu umeandika uzi mzuri mpaka nikakumbuka ile JF ya enzi zile.
Siku hizi nyuzi za aina hii huwezi kuzikuta humu.
Cc: Monetary doctor Nomadix.
Huu uzi umeukita wapi sasa mkuu?Siku hizi nyuzi za aina hii huwezi kuzikuta humu.
Jamaa kanikumbusha zile nyuzi za JF za zamani zilizojaa madani adhimu kwelikweli.Hakika ametukumbusha jambo jema, chuki ni sumu kali sana inaua polepole, inadhoofisha kila kiungo, moyo uliobeba chuki unafubaa na kusinyaa.
Shukrani kwa uzi bora wa weekend.
kabisa mkuuJamaa kanikumbusha zile nyuzi za JF za zamani zilizojaa madani adhimu kwelikweli.
Kwenye masuala ya kijamii😅Huu uzi umeukita wapi sasa mkuu?
Mimi niliamua kumsamehe japo hii kazi ni ngumu sana aisee. Ila ukiweza unakua na amani sanaSimsamehi aliyenikosea kwa lengo la kuangamiza future yangu ila namweka mbali sana
Hata humu jf kuna mijitu ina chuki .kabisa mkuu
Poor Brain njoo upate somo
Maybe uko mbeleniMimi niliamua kumsamehe japo hii kazi ni ngumu sana aisee. Ila ukiweza unakua na amani sana
Chuki ni mzigo usioonekana unaokula nafsi kimya kimya
Kuna uchungu wa aina fulani huwezi kuupiga picha. Uchungu wa mtu anayebeba chuki moyoni...
Chuki haina kelele, lakini ina sumu...
Ni moto unaowaka ndani kimya kimya, ukiunguza kila chembe ya amani uliyonayo.
Ukimchukia mtu si yeye anayeteseka ni wewe...
Yeye anaendelea na maisha yake, anacheka, anafurahi, hata hajui unavyohisi..
Lakini wewe... kila ukimuona, moyo unaenda kasi Ukisikia jina lake, hasira inakujaa.
Ukiona mafanikio yake, unajisikia uchungu na mpweke.
Chuki haimbadilishi yule unayemchukia. Inakubadilisha wewe. Inakufanya ushindwe kupumua kwa amani.
Inakufanya ushindwe kusamehe. Inakufunga kwenye gereza la hisia zako mwenyewe.
Ni kama kunywa sumu na kutarajia mtu mwingine afe.
Mioyo yetu haiwezi kuhifadhi chuki kwa muda mrefu bila kupasuka.
Kwa hiyo, unapobeba chuki ni nafsi yako unaiadhibu, naua furaha yako, unasumbua akili yako, unachelewesha safari yako.
Wengine wanaweza wasistahili msamaha wako. Wewe unastahili amani yako.
Na mara nyingine, njia pekee ya kuipata… ni kuacha kubeba chuki. isiyo na maana
Abuuabdillah ✍️
0744883353
ukammega kivipi mkuu hebu nisanue 😀 ulikula tunda amaHata humu jf kuna mijitu ina chuki .
Kuna mtu niliwahi gombana nae et kisa kila comment naweka emoj ya kucheka...
End of day nikaja kummega ndo hapo kasheshe ikaanza zaidi
Navyozungumzia kusamehe namaanisha, kutoweka chuki na kuamua kuchukulia as if huyu mtu hajanikosea kitu na kisha nikaendelea na maisha yangu hakuna tena mahusiano wala kurudia maisha ya kwanza.Maybe uko mbeleni
Kwahiyo boss ulipomsamehe ulikula tamu?🤔
Ndio nilikula hvo hv ila sio kimasiharaukammega kivipi mkuu hebu nisanue 😀 ulikula tunda ama
Kwa story uliyosimulia kuhusu ex-wife wako mpaka mnafikishana barazani na kuachana mahakamani, ni wazi anachuki iliyokomaa sana juu yako.Ni kweli aisee. Juzi kati ilitokea nikalazimika kuongea na ex-wife kuhusu masuala ambayo ilikua lazima tuzungumze.
Aisee, she sounded so very bitter, very angry, she blasted very nasty words on me, mpaka nikajiuliza huyu mama ndio kusema kajeruhika na hii ishu ambayo ni yeye ali initiate. Mimi niliyeumizwa na kuoita kwenye phase mbali mbali (anger, resentiment, chuki, kuhisi kisasi) mpaka nikapona kwa kuamua kuachilia vyote inakuaje am soo cool namna hii halaf yeye kapanic hivi??
Chuki inatesa wakuu nakubaliana na wewe.