Chuki na UDSM hakuna aliyekutuma Ufeli

Nami npo hpa kwa DAB aka Malyangiri,ni kijiwe gani hapa bandari ya salama upepo unapovuma? Hapa ambapo watoto wa Mkoani wanajigeuza msosi kama God kademu ama james Delicious?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Upo wapi umesema?
 
NILICHAGULIWA UDSM, MZUMBE NA UDOM KWA MARA MOJA

NILIITEMA UDSM KWA SABABU INAENDESHWA KISIASA NA VURUGUVURUGU.

NILIITEMA UDOM KWA 7BU SIKUTAKA KUWA DENT WA KUANZISHA CHUO

NIKAENDA MU, HOME OF DEVELOPMENT, MANAGEMENT, FINANCE AND FINANCE.


NB: NI KWELI, COMPETITION NI KUBWA, WANAOAPLY NI WENGI SANA NA WAKATI MWINGNE HUTEGEMEANA NA COURSE.

HAIWEZEKANI UNA DIVISION 2 AU 1 YA MWSHO HALAFU UNAOMBA COMPETITIVE COURSE, NA HII SYO KWA UDSM PEKEE.
 
Acha ufala wewe. Sheria ya udahili inataka principal pass mbili. Hiyo ya kwako ni ushabiki wa kipumbavu tu.
 
Acha ufala wewe. Sheria ya udahili inataka principal pass mbili. Hiyo ya kwako ni ushabiki wa kipumbavu tu.
Acha kupaniki kijinga. Kila Chuo kinataratibu zake chini ya TCU. Sasa wewe Apply Udsm na three yako ya 15 uone.
 
Uliogopa VURUGU???????
 
 
Wewe ni fala maana hao waliojuwa wanabishana unewaita waliofeli. Kupata Division two ni kufeli? Ufala wako ndio uko hapo!
Unaweza pata one na ukawa umefeli Mkuu.

Kufeli ni kushindwa kufikia lengo. Acha ubishi.
 
Wazazi hutuambia tusome tupate kazi na tuwe na maisha mazuri
Au we hukuwah ambiwa hivyo

Mimi niliambiwa kila aina ya kitu hadi mwishowe nikahisi kuchanhanyikiwa.
Lakini nikaweka msimamo wangu kwamba nasoma ili nijiajiri na shule ikawa rahisi sana baada ya kufanya haya maamuzi. Nilisoma kwa kutotaka kushindana na watu bali kujijenga mimi binafsi na hadi leo hii ninafurahia yale maamuzi na kumshukuru sana Mungu.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Sawa nimekuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…