Acha upuuz ww mambo ya ofisin unaleta huku, jaribu kufikir kabla ya kufanya jambo, ndo maana mnadhaurilwa ila kwang mm sio walim wote na wadharau kuna madaktar na waadhir wenye akili zao ila ww mleta uzi utakua certificate unadhalilisha taaluma za watu
Kuzindoa sio rahisi labda kuzipunguza. Hivi vitu vinakuwa ndani ya mwanadamu, sio rahisi kumsimamia mwanadamu ni bora usimamie pesa kuliko mwanadamu. Ila chakufanya tunatakiwa kupunguza manyanyaso kwa watumishi, majungu, umbea, dhuluma, na mengineyo labda itasaidia kupunguza chuki lakini sio kuondoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.