Chuchu zinauma sana, nifanyaje?

Mpe baba wa mtoto anyonye!

naomba mnisaidie nifanye nin ili chuchu zisiume.
nina mtoto mchanga wa wiki moja nilijifungua kwa operation, sasa nilipojifungua maziwa yalikuwa sio mengi, mwanangu akawa ananyonya hivyo hivyo hali hii imepelekea chuchu kuuma. yaani zinauma sana hadi huwa nawaza sana ninapotaka kumnyonyesha.
naomben mnijuze nitumie nin chuchu zangu zipone?
 
Pole...kwa mimi nilikua najikanda maji ya uvuguvugu + kumnyonyesha mtoto..ila hapo wakat wa kumnyonyesha uvumilie sana hata chozi laweza kukudondoka!!
 
Ni kawaida kwa mtoto wa kwanza...zinauma sana sometimes unahisi kama zimechubuka
Mpe hivo hivo zitapoa tu....ni kwasababu pia vitundu vya kupitisha maziwa vinafunguka mtoto anapokua anavuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom