Chuchu Sound: Zamani hadi sasa

Chuchu Sound: Zamani hadi sasa

Mtumpole kuna ngoma moja inaitwa Chanuo(Shanuo) ni matata sana ya haohao Chuchu. Huna hiyo!?
 
Nimewakumbuka Mao Santiago na Jonico Flower
 
wadau mwenye wimbo wa Binadamu Fm Academia ndanda kosovo waturushie hapa na pia nyimbo za stono music au za mao santiago anasema marafiki.
 
Mwenye nyimbo ile inayosema..ulijifanya mbabe sana leo umepigwa na mtoto mdogo" nimewasahau walioimba..mwenye nayo aitupie
 
ni morogoro jazz hao na jogoo la shamba kama sikosei. nmeangalia kwenye library yangu sijapata. kuna group jamaa mmoja alianzisha la kushare nyimbo zilipendwa aliniunga anataka watu waongezeke kwenye group.

Ukiupata uweke hapa niupakue mana naupenda sana
 
Kikoo wapii sasaa kile ulojidai nacho,leo umekutana na mtoto mdogo aibu imekupata.
Utampiga nanii......
 
Chuchu Sound "Marafiki" nautafuta huo. Mwenye nao naomba aupandishe Tafadhali. Mao Santiago alitisha sana humo.
 
Daah hii ndo raha ya huku, I was thinking about this songs much ever thanx kwamba leo nimezfuma huku
 
Back
Top Bottom