Hakuna ushahidi wa binadamu aliyewahi kuishi angalau miaka 200, sasa hiyo safari si watafika wamekufa wote?
Hiyo hapo chiniHiyo ni idea ambayo nimeiona kwenye movie ila siikumbuki jina.
Ukitazama series ya The 100 utapata idea.
Hizi ni dhana za kufikirika tu bado, kwa sasa hakuna teknolojia ya kupata nishati ya kufika huko kwa miaka 400.HABARI MPYA🚨: Wahandisi wamependekeza chombo kikubwa cha angani chenye urefu wa maili 36 kinachoitwa 'Chrysalis'. Chombo hiki kinaweza kubeba watu 2,400 kwenda sayari ya Alpha Centauri, ambayo ipo umbali wa miaka ya mwanga 4 (yaani 4 light years) kutoka hapa kwetu. Safari hii ni ya kwenda tu na itachukua miaka 400!
Watu watakaopanda chombo hicho hawataiona tena Dunia maishani mwao. Hata watoto wao na wajukuu zao hawatakuwa na nafasi hiyo.
Vipi je ungependa kuwa mmoja wa abiria?
View attachment 3649170
👍👍Labda hujaelewa concept yao, ni kwamba hao 2400 ni vijana jinsia ke na me ambao watasafiri na kuishi kwenye hicho chombo ambapo wataishi kama jamii ambayo itakuwa na kila ktu ikiwemo kuzalisha chakula chao wenyewe kupitia miundombinu ya chombo hiko. Na kubwa zaidi watakuwa wakizaliana kama duniani. Hivyo hawataisha watakufa na kuzaliana kizazi na kizazi hadi safari Yao itapofika huko Alpha Centauri. Ukitazama series ya The 100 utapata idea.
Hiki kitakuwa kinatembea kwa 10% ya spidi ya umeme. Hivo kupunguza huo muda wa kufika huko. Kwa teknolojia ya sasa upo sahihi bado ni ngumu sana ila wanahisabati na wanasayansi kila siku wako kazini kutushangaza zaidi.Hizi ni dhana za kufikirika tu bado, kwa sasa hakuna teknolojia ya kupata nishati ya kufika huko kwa miaka 400.
Chombo kama Voyager 1 kimeondoka duniani takriban miaka 50 iliyopita, na bado hakijafikisha hata 1 light day, nafikiri kitafikisha 1 light day baadaye mwaka huu, November kama sikosei.
Sasa kama 1 light day imechukua roughly miaka 50, 1 light year itachujua miaka mingapi?
Fanya hesabu 60 × 366. Roughly.
That is 18,300 years by using Voyager 1 as an example.
Maana yake hata ukiongeza ufanisi na speed mara 10 zaidi ya Voyager 1, you are talking about 1830 years.
Kwanza kabisa hesabu za kusafiri kwa 10% ya spidi ya umeme hazikufikishi huko Alpha Centauri in 400 years, check your math.Hiki kitakuwa kinatembea kwa 10% ya spidi ya umeme. Hivo kupunguza huo muda wa kufika huko. Kwa teknolojia ya sasa upo sahihi bado ni ngumu sana ila wanahisabati na wanasayansi kila siku wako kazini kutushangaza zaidi.
1- hiyo 10% ni sahihi haiwezi kuwa miaka 400 bali ni chini yani 40 years. Calculations zinazotumika ni za kawaida time=distance/speed. Hivo huwo muda wa 10% tunasema nibegining speed ambayo itasaidia kuaccelerate chombo, kama vile voyager ilivo kuwa boosted na zile gas planets. Baada ya hapo chombo kitatembea kwa spidi ya 1%.Kwanza kabisa hesabu za kusafiri kwa 10% ya spidi ya umeme hazikufikishi huko Alpha Centauri in 400 years, check your math.
Pili, ukiondoka kwenye fantasy, maana hata science fiction inatakiwa kuwa na a feasible technology, unajua teknolojia gani itatumika?
Unajua mass ya hicho chombo?
Unajua kuwa by relativity speed ikiongezeka, mass nayo inaongezeka?
Umeshapiga hesabu za mass kuongezeka na energy itakayohitajika kutokana na si mass at rest tu, bali pia mass kuongezeka kutokana na relativistic effects?
Unajua kuwa at relativistic speeds, ukikutana na projectile ndogo tu italipua spaceship kama a nuclear bomb?
Utaikinga vipi hiyo spaceship? Utaikinga na shiled gani wakati kila shield itaongeza uzito na kila uzito unaoongezeka utahitaji energy zaidi kuusafirisha?
What about radiation, utawakinga vipi hao watu na radiation?
Usijibu "wanasayansi wanafanyia kazi" tu.
Hizi ni hadithi za science fantasy kwa sasa.1- hiyo 10% ni sahihi haiwezi kuwa miaka 400 bali ni chini yani 40 years. Calculations zinazotumika ni za kawaida time=distance/speed. Hivo huwo muda wa 10% tunasema nibegining speed ambayo itasaidia kuaccelerate chombo, kama vile voyager ilivo kuwa boosted na zile gas planets. Baada ya hapo chombo kitatembea kwa spidi ya 1%.
2-nucleur fusion
3- chombo ni 58km urefu na 6km diameters, uzito wake ni tani 2.4bil
4- inategemea pia na hio spidi ikiwa ni ya umeme kabisa basi uko sawa. Ila kama haijafika spidi ya umeme mass inaweza isiongezeke.
5- uko sawa mkuu ila kumbuka chombo kitakuwa na mifumo ya ulinzi kama ngao na laser ili pia kujilinda.
Passengers ya Chris Pratt na Jennifer Lawrence pia kuna The 100.Hiyo ni idea ambayo nimeiona kwenye movie ila siikumbuki jina.
Nadhani hiyo passenger ndio imegusia zaidiPassengers ya Chris Pratt na Jennifer Lawrence pia kuna The 100.