kiunzi
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 515
- 366
Waliokuwa wameshitakiwa na huyu jamaa wengi wao wesha kufa,Mara tuu walipo achiwa na mahakama.Yule askari aliyefariki kuna utata kwenye kifo chake. Ukifanyika uchunguzi vizuri kunaweza kuwa na makandokando mengi. Hlafu kuna yule aliyetoroka (aliyetoroshwa?). Huyu naye ni shahidi muhimu sana na akipatikana kesi itachukuwa mkondo mpya.
eg. Jane toka isanga-/mby
Lymo-Kilimanjaro
Walio hai hawazidi 4