Christopher Bageni agonga mwamba Mahakamani, sasa anasubiri Kunyongwa tu

Yule askari aliyefariki kuna utata kwenye kifo chake. Ukifanyika uchunguzi vizuri kunaweza kuwa na makandokando mengi. Hlafu kuna yule aliyetoroka (aliyetoroshwa?). Huyu naye ni shahidi muhimu sana na akipatikana kesi itachukuwa mkondo mpya.
Waliokuwa wameshitakiwa na huyu jamaa wengi wao wesha kufa,Mara tuu walipo achiwa na mahakama.

eg. Jane toka isanga-/mby
Lymo-Kilimanjaro

Walio hai hawazidi 4
 
2006 ulikua wapi mkuu?
Haaa hajazaliwa hajui habari ya walu wa le wa wikaya ya Ukanga malinyi walikuwa wanne au watatu wafanya biashara wa madini walikuwawameuza mzigo wakayi huo alikuwa mdogo sana
 
Kanikumbusha wale wauza madini waliouawa kinyama,yule RPC wa mkoa flani anaitwa Zombe alipona vipi?Maana baada ya tukio eti akapata uhamisho kwenda kuwa RPC kama sikosei Rukwa.
Alichukuliwa kutoka rukwa kuja dar kwa escort Kali sana huku kavaa kanzu utafikiri mcha mungu
 
Ila jamaa walitenda unyama sana hawa. Na yule PC Saad ambaye inaaminika ndo alifyatua triger baada ya tukio akaenda Misri... Hapa namkumbuka Marehemu Koplo Lema kabla huyu Lema wa Chadema hajawa maarufu alivokiri ukweli na kuwageuka wenzie kabla hajaugua magonjwa ya ajabu na kufa...
Nakumbuka maisha ya akina Chigumbi na dereva wao wa Tax Juma Ndugu wa Manzese yalivokatishwa kule msitu wa Pande...
Nakumbuka uporaji wa fedha za roli ya Bidco ambapo polisi wale walidai kuzikomboa kumbe nao walipora wale wafanyabiashara na kuwaua kabisa... Dereva wa Bidco aliyeporwa na majambazi wenyewe hakuuawa na akakataa kuwa zile pesa si zenyewe baada ya kuoneshwa na polisi... Nakumbuka tume ya kijaji na mahakama ilipohamia msitu wa Pande kuona maisha ya wale wafanyabiashara yalipokatishwa kiss walikuwa na milioni 200....
Nakumbuka kilichomponza huyu bwana Christopher kuwa ndo alikuwa mwenye cheo kikubwa pale na angezuia mauaji PC Saad asingefyatua risasi...
Mwisho nakumbuka hotuba ya Mh. Kikwete aliposema.... "Nikasikia minong'ono kuwa Mzee, waliouawa siyo majambazi... Nikaamua kuteua tume ya Kijaji ili kujiridhisha..." Hapa hata nilikuwa sijui maana ya tume ya kijaji ni nini...
Namkumbuka PC Jane "Cynthia" ambaye alikuwa anakuwa front kupambana na majambazi kama mwanaume na anasikika kwa ujasiri akiwa ni mshitakiwa pekee kwenye ile kesi...
Nakumbuka siku ya hukumu mama wa marehemu akilia.... Sijui zile milioni 200 zilirudi....

Nimekumbuka mengi sana....
Ni mwaka huo huo akina Richmond walizaliwa...
 
Pingapinga Saccos mje mpinge huku,maana iliyotoa maamuzi ni Mahakama ya Tanzania mnayoipinga kila siku.
 
Sijui yule Zombe alichomoka vipi ila nakumbuka hii kesi ilitikisa Tanzania siku ile inasomwa hukumu watu tulisikiliza redioni hukumu ilichukua muda mrefu sana hadi wakaja kusemwa watu wasihukumu kwa hisia
Baadhi ya washitakiwa na mashahidi walikufa kesi ikiendelea.
 
Ila jamaa walitenda unyama sana hawa. Na yule PC Saad ambaye inaaminika ndo alifyatua triger baada ya tukio akaenda Misri... Hapa namkumbuka Marehemu Koplo Lema kabla huyu Lema wa Chadema hajawa maarufu alivokiri ukweli na kuwageuka wenzie kabla hajaugua magonjwa ya ajabu na kufa...
Nakumbuka maisha ya akina Chigumbi na dereva wao wa Tax Juma Ndugu wa Manzese yalivokatishwa kule msitu wa Pande...
Nakumbuka uporaji wa fedha za roli ya Bidco ambapo polisi wale walidai kuzikomboa kumbe nao walipora wale wafanyabiashara na kuwaua kabisa... Dereva wa Bidco aliyeporwa na majambazi wenyewe hakuuawa na akakataa kuwa zile pesa si zenyewe baada ya kuoneshwa na polisi... Nakumbuka tume ya kijaji na mahakama ilipohamia msitu wa Pande kuona maisha ya wale wafanyabiashara yalipokatishwa kiss walikuwa na milioni 200....
Nakumbuka kilichomponza huyu bwana Christopher kuwa ndo alikuwa mwenye cheo kikubwa pale na angezuia mauaji PC Saad asingefyatua risasi...
Mwisho nakumbuka hotuba ya Mh. Kikwete aliposema.... "Nikasikia minong'ono kuwa Mzee, waliouawa siyo majambazi... Nikaamua kuteua tume ya Kijaji ili kujiridhisha..." Hapa hata nilikuwa sijui maana ya tume ya kijaji ni nini...
Namkumbuka PC Jane "Cynthia" ambaye alikuwa anakuwa front kupambana na majambazi kama mwanaume na anasikika kwa ujasiri akiwa ni mshitakiwa pekee kwenye ile kesi...
Nakumbuka siku ya hukumu mama wa marehemu akilia.... Sijui zile milioni 200 zilirudi....

Nimekumbuka mengi sana....
Ni mwaka huo huo akina Richmond walizaliwa...
We jamaa una kumbukumbu sana...
Naomba unieleweshe maana ya tume ya kijaji

Pia funguka kidogo kuhusu jane
 
Maisha yana formula...nayo ni mtu unapaswa kuwa mnyenyekevu, mcha Mungu, usiye na majivuno, mpenda haki, unayechukia rushwa na maovu yote, mwenye nidhamu na usiye na chembe ya sifa ya ukatili...
Unaweza fanya hayo unayosema ni formula lakini bado ukakaangwa tu!!

Are you not aware that injustices happen everyday??.
 
Baadhi ya washitakiwa na mashahidi walikufa kesi ikiendelea.
Koplp Lema alifariki wiki moja kabla ya kutoa ushahidi ila aliepotea alikua anaitwa Koplo Saad huyu jamaa hadi leo hajulikani alipo nilikuaga mdogo lakini niliifatilia sana hii kesi
 
Haaa hajazaliwa hajui habari ya walu wa le wa wikaya ya Ukanga malinyi walikuwa wanne au watatu wafanya biashara wa madini walikuwawameuza mzigo wakayi huo alikuwa mdogo sana
Daah wale jamaa nilisikitika sana wakina Sabinus Chagumbi, na wenzake halafu kulikua na mtoto wa kaka yao aliuawa bila kusahau yule dereva teksi daah jamaa walikua wakatili sana
 
Ndo maana wamememtight jamaa kila kona haruki atakoma na kusubiri hilo tukio na yy ndo alieamuru wagigwe risasi
 
Back
Top Bottom