Christianity Taught Africans Dignity, Bishop Says | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Christianity Taught Africans Dignity, Bishop Says

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Alpha, Apr 10, 2009.

 1. A

  Alpha JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  So apparently we had no dignity before the white man who was enslaving and brutalizing us gave us his wondeful religion.

  allAfrica.com: Tanzania: Christianity Taught Africans Dignity, Bishop Says (Page 1 of 1)
   
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  What dignity?

  The dignity that came with subjugation? colonialization? slavery? piller and plunder? maiming and arson? cajoling capitulation? forced labor? trickery?

  The height of condescending christendom.
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Waafrika wanauchukulia ukristo tofauti na wazungu wanavyofanya,na ndio maana waafrika hao hao wanaamini kuwa wao ni kizazi kilicholaaniwa kwenye tukio lile la Nuhu alipozeeka na baada ya kulewa alijisahau na kubaki uchi,na wazungu hao hao wamewaaminisha waafrika kuwa yule mtoto aliyemwona baba yake uchi na akacheka ndio kizazi cha waafrika na yule mtoto aliyekwenda kinyume nyume na kumfunika baba yake ndiyo kizazi cha wazungu(weupe)
  Nasema waafrika wanauchulia ukristo tofauti kwani sidhani kama waafrika wangeweza kuwavamia wazungu na kuwatawala kwa kutumia ukristo huo huo....Ama kuutumia ukristo kwenda vitani nk....No wonder hata ma mishenari walipokuja walipreach kuhusu neno la Yesu kuwa ukilambwa kofi shavu moja geuza na jingine,nadhani mababu zetu walilambwa makofi na wakageuza shavu la pili kama biblia inavyosema.
  Sasa kuhusu hilo la dignity...Again ni yale yale tu ya mwafrika kudharauliwa in all aspects,mambo kama haya yamesababisha low self esteem miongoni mwa waafrika na low self esteem will get you no where zaidi ya ku enslave your mind.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 10, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Heheheheheee....Miafrika Ndivyo Tulivyo...
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Mind set tu mbovu!

  Je kabla ya kuja Wazungu Africans hatukuwa na dignity??

  Hata Miungu yetu tumeiacha na kuikumbatia walioleta Wazungu na waarabu!

  Angalia India, Japan n.k hawakuacha wholesale Imani zao--ni Afrika tu tumeiga kila kitu!
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Apr 10, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,564
  Likes Received: 3,861
  Trophy Points: 280
  kweli kuwa hata hao wenye dini bado hawapo! wachache sana wanaoufuata ukristo kama ulivyo. watu wmeacha dini za mababu, na pia wako shallow kwenye dini hii mpya! wapo wapo tu, wanafuata upepo! leo hii ukianzisha kanisa la kuoana jinsia moja, utawapata maelfu tu ya watu!
   
 7. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,552
  Likes Received: 1,896
  Trophy Points: 280
  Ndio hapo na mimi nashangazwa,kwasababu kama Christianity taught Africans dignity,then inawezekana vipi ku condemn colonialism ama Slavery?
  Maana watu ambao hawakuwa na dignity wali deserve nini zaidi ya kutawaliwa na kufanywa watumwa?
   
 8. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni CCM nyingine, ukiwa ndani ya mdundiko inabidi uucheze mdundiko. Heri sisi tusioamini! kwi kwi kwi!!
   
 9. Geeque

  Geeque JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2009
  Joined: Aug 17, 2007
  Messages: 848
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Huyu Askofu ni Mpumbavu na mawazo yake mgando.
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Those who fought hard for the dignity of the colonized were very very few. Maybe the Catholics in Tanzania took that mode because the colonial master was not Italian. Look at Mozambique and the rest of the Portuguese colonies. The catholic church there was hand in hand with the colonizers.
   
 11. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tatizo la waafrika ni kutaka kukubali kila kitu kinacholetwa na wazungu ndio maana hata vitu vya hovyo tunavikubali, sijui kama watu ambao hawana dini mpaka leo hawana dignity, utamaduni wetu ulikuwa bora zaidi kuliko huu tulionao na unaokuja.

  Inawezekana kadinari amesoma historia ya Roma wala hajui historia ya Afrika jinsi walivyokuwa wanaishi maisha ya starehe na raha kabla ya kuja dini zao feki na kuona kila cha mwafrika ni hovyo.

  Hizo dini wanazosema wenye nazo hawazifuati siku hizi, hakuna kwenda kanisani wala misikitini lakini sisi tuliofundishwa ndio tunakazania kama vile tumelogwa.

  Mimi siwaelewi kabisa, hivi mungu wenu ni mbaguzi kiasi hicho cha kuwaacha wapendwa wake waafrika wafanywe watumwa na watu wengine ambao kawaumba yeye, huyo mungu ametulia na kuangalia tu watu wanakufa na kwa kukosa matibabu wakati mafisadi wanaiba pesa ya serikali kwanini asipitishe radi na kuua mafisadi wote na kuokoa masikini wanaohitaji hizo pesa.

  Wakuu kumbukeni kama mungu yupo basi anaupendeleo kwani kuna watu ameshawapangia maisha mazuri na wengine amewapangia maisha mabaya, wengine wamezaliwa kuwa wezi wakati wengine wamezaliwa kuwa na mapesa ya kusaza.

  Ninachoamini ni kuwa mtu akiamua kufanya kitu na akawa na confidence basi success is evident na hakuna kizuizi cha kumzuia kufanikiwa. kumbukeni kuwa always mafanikio ya kitu chochote upatikana au kukosekana kunafanyika ndani ya akiri ya mtu mwenyewe.

  believe in your self and everything is possible
   
 12. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ukijua mzizi wa neno "mzungu" utaelewa kwa nini waafrika wa wakati ule walikubali kutawaliwa na wazungu.

  Lakini kwa nini waafrika wa leo kama hawa maaskofu na wasomi wengi wanakubali kuishi katika giza hili?
   
 13. D

  Darwin JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=pkRYaMiP4K8]YouTube - George Carlin: The Ten Commandments[/ame]
   
Loading...