Chris Lukosi akitema yai.....

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,035
Reaction score
142,947
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?

Last edited by a moderator:
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?

kumbe ni huyu...
 
Last edited by a moderator:
Kumbe jamaa ndio kisa anaishambulia cdm ili ajikombe kwa wanene angalau apate mkate wa kila siku! Pole lukosi hayo yote ni maisha
 
Watanzania na kelele zetu zoooooooooooooote bado hata mambo ya media tunategemea Kenya!
 
Mkuu na hapo nilipigwa majungu vibaya sana.

Nakumbuka kuna bosi wangu mmoja alikuwa anaitwa TWAHA wakati huo mkuu wa kituo nusu anitoe roho kwa sababu ya baiskeli tu..

I wish nitakutana nae siku moja mitaani nimkumbushe..

duuh ya kweli hayo? Au ndo kujitetea kiaina? Jipange watu wapo vizuri kwa kumbukumbu
 
Huyu Lukosi Ukitaka Afurahi Mnunulie Ulanzi, Ukimnulilia Lita 4 Ya Ulanzi Tu Urafiki Unaanzia Hapo,na Ndio Maana Anajipendeka Kwa Ma Ccm Ili Apewd Ulanzi (ulasi)
 
Angalia kuanzia dakika ya nane. Wabeba maboksi oyeeeeeee:usa2:

Halafu kumbe jamaa ni British-Tanzanian......teh teh teh

But why is he a foreigner in his own country? Au keshachukua uraia wa UK?

Wivu mwingine wa kike sana. Inashangaza sasa wanaume wa tanzania wamekuwa wambea na tabia zote za kike. Mtu anatafuta maisha anahitaji support na kumtia moyo. Nyinyi mbona kazi zenu hamsemi? Au mlitaka akae ndani acheze kidali poo na mamazenu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…