Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,869
- Thread starter
- #61
Mapenzi ni mabaya ndio lakini hakuna namna acha tupambane nayo hivyohivyoAsantweeeh mamy....ila nadhani ni vizuri nikasimama hapa hapa "uzuni point". Maana moyo unaogopa kotekote mbele na nyuma...niende wapi sasa?!!!
#Mapenzi mabaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app

