Nizijibu kwani mi ndio nimezileta. Kwanza kabisa point ya kuwa kachaguliwa na maraisi wawili ni dhaifu kwani wapo watu wabovu wengi waliokuwa wanachaguliwa kwenye awamu mbali mbali, na hilo la kusema Makonda muongo hamna kitu kwani yeye kasoma mikata iliyopo. Kama kuna wa kumtetea alete mikataba mingine. Zaidi ya hapo ni porojo tuZijibu kama ni dhaifu usizunguke mbuyu
Sheria ya ajira ilifuatwa kwenye kumsimamisha?Nizijibu kwani mi ndio nimezileta. Kwanza kabisa point ya kuwa kachaguliwa na maraisi wawili ni dhaifu kwani wapo watu wabovu wengi waliokuwa wanachaguliwa kwenye awamu mbali mbali, na hilo la kusema Makonda muongo hamna kitu kwani yeye kasoma mikata iliyopo. Kama kuna wa kumtetea alete mikataba mingine. Zaidi ya hapo ni porojo tu
Hilo sio langu la kujibuSheria ya ajira ilifuatwa kwenye kumsimamisha?
Basi usitoe majibu mepesi kwenye hoja nzito kama hiyohapoHilo sio langu la kujibu
Ndio huko tylipofikia... pole Tanzania Yangu"Nimtumbue nisimtumbue"...."Mtumbueeeeee"
Sioni hoja nzito hapo, pole kama umeguswa moja kwa moja na yaliyomkuta. Ikitolewa mikataba mingine nitaweza kuwaza upya, ila kwa sasa naona kilichomkuta ni ajali kazini.Basi usitoe majibu mepesi kwenye hoja nzito kama hiyohapo
Huwezi kuona hoja maana mizuka ni mingi kuluko mfano sheria za kazi zifuatwe ukurupukaji na mizuka ni hatariSioni hoja nzito hapo, pole kama umeguswa moja kwa moja na yaliyomkuta. Ikitolewa mikataba mingine nitaweza kuwaza upya, ila kwa sasa naona kilichomkuta ni ajali kazini.
Kwa ushaidi upi? Sheria ya ajira inasemaje?Za mwizi huwa ni ngapi kwani?
Na sheria ya kazi zinasemajeSawa mkuu, ila ingekuwa rahisi kutengua hiyo hoja ya mikataba tu kuliko kuweka porojo.
Mi sio mwajiri bwana wa kujibu sheria ya kazi. Ninachojua makanjanja yamefanyika chini ya uongozi wake na hakuna taarifa mbadala na hiyo inatosha kuona aliongoza vipi.Na sheria ya kazi zinasemaje
Mimi sina shida kama ana kosa kuadhibiwa ninachotaka hapa je hizo adhabu zinafuata utaratibu wa sheria za ajira au nimizuka?Mi sio mwajiri bwana wa kujibu sheria ya kazi. Ninachojua makanjanja yamefanyika chini ya uongozi wake na hakuna taarifa mbadala na hiyo inatosha kuona aliongoza vipi.
Mi sitaki kujua hilo, kama mtu ana makosa na kuna vithibiti ni bora akae kando mapema ili kuzuia uozo.Mimi sina shida kama ana kosa kuadhibiwa ninachotaka hapa je hizo adhabu zinafuata utaratibu wa sheria za ajira au nimizuka?
Mahakama ndio chombo chakudhibitisha kua wewe ni mwizi au laa hakuna mamlaka nyingine pitia sheria za nchiMi sitaki kujua hilo, kama mtu ana makosa na kuna vithibiti ni bora akae kando mapema ili kuzuia uozo.
Mikataba aliyoisema Makonda inanitosha kwa sasa. Hayo mengine endelea nayo wewe au nitaifahamu nikiihitaji.Mahakama ndio chombo chakudhibitisha kua wewe ni mwizi au laa hakuna mamlaka nyingine pitia sheria za nchi
Hivi Mramba alikuwa waziri katika awamu ngapi vile