fungi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 2,539
- 4,673
Tafuta video zake youtube then zi convert ziwe audioBongo flavor ilikua zamani bhana, hakuna wimbo wa zama hizo nisioupenda.
Wadau nitazipataje msaada tutani.
Tafuta video zake youtube then zi convert ziwe audioBongo flavor ilikua zamani bhana, hakuna wimbo wa zama hizo nisioupenda.
Wadau nitazipataje msaada tutani.
Umeonyesha chuki kum underrate Ali kibahakuna mtu mkali kwenye chorus kama g warawara huyo kiba mnampaisha tu
HAKUNAGA KAMA MILELEToka muziki wa kizazi kipya ushike chart hapa nchini kumetokea wasanii lukuki waliojitahidi kuonesha uwezo wao!!
Chorus nyingi zimeimbwa iwe katika nyimbo za wasanii husika ama zile za kushirikishwa!
Kwangu chorus bora zaid katika bongo flava ni hizi hapa
1. Nampenda-Mike T feat Juma Nature
2. Wanapendana-Mwanafa feat Dully Sykes
3. Sintobadilika-Mike T feat Q chief
4. Wanoknok-Mandojo na Domokaya feat Jay Dee
5. Hawapendi-Jafarai feat Q chief
6. Nimechokwa-Shetta feat Belle 9
7. Mfalme-Mwanafa feat Gnako
8. Alisema-Stamina feat Jux
9. Milele-Godzilla feat Alikiba
10. Kazi yake mola-Madee feat Mandojo na Domokaya
Ongeza 13 ya young killerChorus Kali
Unanitega - mwana fa
Asanteni kwa kuja - mwana fa
She got gwan - ngwea
Mikasi - ngwea feat feruzi
Chochote utapata - klynn
Dar mpaka Moro - tmk
Twende zetu - chege
We ni mchizi wangu remix - nako 2 nako
Hawatuwezi - nako 2 nako.
Nipo mstari wa Mbele - kalapina
Nitaendelea
Ongeza 13 ya young killerChorus Kali
Unanitega - mwana fa
Asanteni kwa kuja - mwana fa
She got gwan - ngwea
Mikasi - ngwea feat feruzi
Chochote utapata - klynn
Dar mpaka Moro - tmk
Twende zetu - chege
We ni mchizi wangu remix - nako 2 nako
Hawatuwezi - nako 2 nako.
Nipo mstari wa Mbele - kalapina
Nitaendelea
ile chorus ni kali sana mzee,me ni UKAWA ila hapo umenena, hata songi lenyewe kaliKubwa kuliko zote niile ya CCM mbele kwa mbele ile chorus ni shida.....haitakaa itokee
Ile kitu bana kusema ukweli huwa ni Sheedah, sijui itaanzaje kuchuja.ile chorus ni kali sana mzee,me ni UKAWA ila hapo umenena, hata songi lenyewe kali
nakumbuka kipindi cha uchaguzi nlikuwa shabiki sana wa ukawa,ila kwenye gari nkitulia mwenyewe nlikuwa nasikiliza lile songi hata mara 8 kwa siku hasa nikiwa Naenda safari za mbaliIle kitu bana kusema ukweli huwa ni Sheedah, sijui itaanzaje kuchuja.
Hahahaha kaka umeua, najua ukawa ilikua inakufanya mkiwa na ukaamua ujiliwaze kwa mbele kwa mbele.nakumbuka kipindi cha uchaguzi nlikuwa shabiki sana wa ukawa,ila kwenye gari nkitulia mwenyewe nlikuwa nasikiliza lile songi hata mara 8 kwa siku hasa nikiwa Naenda safari za mbali
Ongeza Dully Sykes kwenye hii listWakali wa chorus kipind bongo fleva ilipokuwa kweli Bongo fleva
1.Juma nature
2.Lady Jay dee
3.Ali kiba
4.Q chief
5.T.I.D
6.Mandojo & Domokaya
2010-....(modern bongo fleva)
G nako
Belle 9
Ben Pol
Tafuta video zake youtube then zi convert ziwe audio