Chorus 10 bora za muda wote katika bongo flava!!

Chorus 10 bora za muda wote katika bongo flava!!

hakuna mtu mkali kwenye chorus kama g warawara huyo kiba mnampaisha tu

ally kiba wamuache, japo g warawara anajitahidi.
Ukitaka kuwajua wakali wa chorus bongo we skiliza ngoma zote za mwanaFA... humo utawakuta kina g warawara, alikiba, mandojo&domokaya, jaydee, banana, benpol, inspecta, TID, dullysykes na wengine kibao. Huyu jamaa hakoseagi mtu wa kumshirikisha kwenye chorus zake
 
No 1
Maji yakishamwagika hayazoleki
Maji yakishamwagika hayazoleki
Maisha umeyachezea sasa binti unalia
Sister Sister....

No 2
Mimi sasa nasonga mbele
Maisha yangu bila ya wewe
Nawaachia hao wenzangu
Wajaribu kuishi na wewe
Umasikini Mimi sitauweza
Na wala siwezi kulala na njaa
Heri kua kifaranga cha kuku
Mbele yako we we bwana mwewe...
 
1. Zamani - Q chief ft jide
2. Aseme - Q chief
3. Kazi ipo - TMK ft Q chief
4. Kilio changu - Solo thang ft Q chief
5. Nipo - Mr blue ft Q chief

Kibongo kwa chorus hakuna alikua anamfikia Q chief kwa chorus ingawa nature na jide kidogo walikua wanafatia kwa mbali.

6. Nampenda - Mike T feat nature
7. Bongo dar es salaam - prof jay ft jay de
8. Hatuna kitu - Rich one ft Nature
9. Kwa ubishi na hasira - Squizer ft Nature

Imegoma tu ku-attach hizo ngoma ningewawekea hapa mngekubali
 
  • Misosi NITOKE VIPI.
  • Jina langu - Professor Jay.
  • Tutakukumbuka daima milele ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu.
  • Ukweli utabaki pale pale , ukweli utabaki pale nakupenda nakuhitaji uwe waangu.
Nyimbo mbili za mwisho siikumbuki nani kaziimba. Bali nazi penda mno.
Hivi hii ngoma ya tutakukumbuka ya gk alimuimbia nani aisee..? Mpaka leo nimeshindwa kujua kabisa
 
1. Zamani - Q chief ft jide
2. Aseme - Q chief
3. Kazi ipo - TMK ft Q chief
4. Kilio changu - Solo thang ft Q chief
5. Nipo - Mr blue ft Q chief

Kibongo kwa chorus hakuna alikua anamfikia Q chief kwa chorus ingawa nature na jide kidogo walikua wanafatia kwa mbali.

6. Nampenda - Mike T feat nature
7. Bongo dar es salaam - prof jay ft jay de
8. Hatuna kitu - Rich one ft Nature
9. Kwa ubishi na hasira - Squizer ft Nature

Imegoma tu ku-attach hizo ngoma ningewawekea hapa mngekubali
Mkuu Fanya hima uziweke hizo ngoma bila kusahau nataka demu jay no ft solo na q chief
 
  • Misosi NITOKE VIPI.
  • Jina langu - Professor Jay.
  • Tutakukumbuka daima milele ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu.
  • Ukweli utabaki pale pale , ukweli utabaki pale nakupenda nakuhitaji uwe waangu.
Nyimbo mbili za mwisho siikumbuki nani kaziimba. Bali nazi penda mno.
Tutakukumbuka chorus kapiga TID
 
  • Misosi NITOKE VIPI.
  • Jina langu - Professor Jay.
  • Tutakukumbuka daima milele ipo siku mbele mi na wewe tutaonana tena mwenzangu.
  • Ukweli utabaki pale pale , ukweli utabaki pale nakupenda nakuhitaji uwe waangu.
Nyimbo mbili za mwisho siikumbuki nani kaziimba. Bali nazi penda mno.

Tutakumbuka -KING CRAZY GK (Gwamaka Kaihula) x T.I.D produced by John Mahundi at MJ records 2001 na Ukweli utabaki pale ple ni kundi la RnB la Soul n Faith@afrodenzi .
Zangu 10 bora ni
1.Hustler-DIGRITY (USA) x RAY C,NOORAH
2.Bongo hip hop-LOON x NAKO 2 NAKO SOLDIERS
3.Kupiga debe-...... x Q CHIEF
4.Nakupenda jinsi ulivyo-BESTA x DULLY SYKES
5.Malaika-ABBY SYKES (babake Dully marehemu) x DULLY SYKES
6.Ice cream -NOORAH x SUMA LEE
7.Kama unataka demu-SOLO THANG x JAY MO,Q CHIEF
8.Hawatuwezi-NAKO 2 NAKO x ENIKA BUKUKU
9.Baridi kama hii-ENIKA BUKUKU
10.Barabara (Mwanza zirekebishwe barabara)-BWV x SARAH KIPINGU
Nawasilisha hizo chache zipo nyingi kali na za zamani ni nzuri kuliko sasa
 
baadhi ya chorus ninazozikubali;

1."ni wewe" ya Hard Mad,
2. "nakshi mrembo" ya Ali Kiba
3. "sitorudi" ya Q jay featured by Joh Makini,
4. "nivumilie" ya Baraka da prince & Ruby
5. "kamwambie" ya Diamond
6. " u drive me crazy" ya Suma Lee
7. "watasema sana" ya Tid

Hi ya dimond sikubaliani nayo
 
Bongo flavor ilikua zamani bhana, hakuna wimbo wa zama hizo nisioupenda.

Wadau nitazipataje msaada tutani.
 
1. Mzee wa busara
2.Hii Leo
3.Sababu bomba
4.Napiga simu unakata
5.Nikusaidiaje
6.She got a gwan
7.Nipe tano
8.Vice versa
9.Maisha yangu nyimbo tosha
10.Usiulize
Aaaaaaagh list haitoshiii ziko nyingi nazozipenda
 
Back
Top Bottom