Chopa ya Magambaz yatua Arusha

Chopa ya Magambaz yatua Arusha

CCM kwenye uchaguzi wa Arumeru imekuwa ikiji contradict kwa extent ambayo hana mtoto mchanga anaoweza kung'amua. Haihitajiki mtafsi kuwaeleza watu aina ya chama na watu wanaokiongoza na malengo yao kwa Watz. Kwa msingi huu na kwa kwa mfano huu mdogo wa "helcopter hatutumii then tunatuamia" ni tochi ya kuwaambia wenye akili timamu wasiipe kura CCM chama cha Matapeli na waongo. Kitakachoshangaza ni kuwa bado waliofanywa mazezeta na CCM watakipigia kura.
Mkuu,
Hii inaonyesha kuwa hawako serious na chochote wanachoongea!
Ukitaka kuhakikisha waulize wananchi wa Igunga kuwa Daraja la mto Mbutu, ambalo waliambiwa litajengwa ndani ya siku 90 limejengwa?
 
Mkuu, mtu mwongo siku zote huwa hana haya (aibu), yupo tayari kula matapishi yake.
Hivyo usiamini walisemalao, they really don't mean it!

Wako tayari kusema hapana huku wakimaanisha ndiyo and vice versa.
Lakini kwa vile wamechagua kuwa waongo, wajitahidi kuwa na kumbukumbu basi, maana wanawakanganya wana Arumeru sasa!
 
Sijui Mwigulu Nchemba ataweka wapi uso wake, maana aliongea mchana wa jua kali kuwa kutumia helikopta kwenye kampeni ni UFISADI wa hali ya juu!
Lakini kwa kitendo hicho Magambaz wanatumia mafuta yao wenyewe kujikaanga na hatimaye kujimaliza!
Pooooh!
Wana jf naomba namba ya simu ya Kibajaji nimuulize imekuaje wakaleta hiyo chopa , kwani kwa masikio yangu ninimsikia akisema kuwa cdm inatumia milioni 60 kugaramia hiyo chopa kwa siku? wao vipi?
My take: mfa maji haachi kutapatapa.
 
Sijui Mwigulu Nchemba ataweka wapi uso wake, maana aliongea mchana wa jua kali kuwa kutumia helikopta kwenye kampeni ni UFISADI wa hali ya juu!
Lakini kwa kitendo hicho Magambaz wanatumia mafuta yao wenyewe kujikaanga na hatimaye kujimaliza!
Pooooh!

Kwa jinsi mshipa wa aibu ulivyomkatika Mwigulu, usishangae akija hapa na kukanusha kutamka maneno hayo.

Hii inaendelea kudhihirisha jinsi ccm wasivyo na uwezo wa kutafakari na kufanya maamuzi yenye manufaa, wanafanya vitu kwa kuiga iga tu. Sina shaka kwamba safari hii hata kama watacheza "game" nje ya uwanja hawachomoki, imekula kwao mazima.
 
Wajidai wao baba vyama vingine watoto sasa inakuwaje baba anamwiga mtoto au ndo maujanja yameisha? CCM wamekwenda kuburudisha wananchi wa Arumeru na ndo maana watu wakiona lile gari la TOT basi wanakimbilia mkutano na CCM inajifariji "timepata umati mkubwa" Hv bado Original Comedy bado wapo Arumeru wakijimaliza kisanaa au wamerudi Dar.?
1.CDM ni chama cha msimu..Kelele za mpangaji hazimzuwii mwenye nyumba kupata usingizi.......By JK.
2.Hii kitu inaitwa Peoples Power hii inasumbua sana masikioni...Hawafai kabisa watu hawa!.......Mizengo, Mtoto wa Mkulima
 
Katika hatua za kukabiliana na kujibu mapigo ya CDM, magambaz leo hii wameleta chopa ya kwanza mjini Arusha ikiwa imepaki huko Kisongo Airport, rubani akidai kuwa wanamsubiri mtu aitwaye January Makamba ili wapangiane routes na mikakati!

Helikopta hiyo ni ya kampuni ya Everrett iliyoko jijini Dar-Es-Salaam, na ina Registration No:5H-EXP.
Chopa hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 4 imetua Kisongo mnamo saa 5 asubuhi hii.


(Picha hii chini siyo ya Arusha, lakini chopa yenyewe ndiyo hiyo exactly)
View attachment 50442






















Mbona hapo kama ulaya flani au magharibi flani?? hii picha ni mfano wa hiyo chopa au ndo hii??
 
Vijana wa kitaa husema GAME IKO TIGHT KILA MBINU ITATUMIKA USHINDI UPATIKANE
 
Mbona hapo kama ulaya flani au magharibi flani?? hii picha ni mfano wa hiyo chopa au ndo hii??
Jomba soma nilichoandika juu ya picha hapo kwenye mabano utaelewa!...tusome vizuri threads ili tujibu kilichowasilishwa!
 
There is a very slight difference between CCM and UPDP under Fahmy Dovutwa!
Mkuu,
Hivi huyu Dovutwa ndio alisema kuwa Vijana wanakaa kijiweni kama Solar Power?
 
ccm iko hoi sana huku arumeru.
Chopa haitabadili matokeo!


Haki ya Mungu labda wakimbie na mabox ya kura kesho kutwa!

Na nikiwa hapa nilipo post kbs na TCA nimeona gari kama saba Nissan Patrol yenye rangi nyeusi wanaelekea uwanja wa ndege Kisongo na nikahisi wanaenda kumpokea baba Mwanahasha!

Wameishiwa mbinu hawa magamba!!
 
ccm iko hoi sana huku arumeru.
Chopa haitabadili matokeo!
Lau wangekuwa na akili hela hizo wangezitumia kwenye mambo mengine!
Lakini kwa akili za akina Lusinde, wanapelekana shimoni bila hata kustuka, maana wote ni wapofu!
 
Kazi kweli kweli...sio mby ukiiga kwa uzuri.



Katika hatua za kukabiliana na kujibu mapigo ya CDM, magambaz leo hii wameleta chopa ya kwanza mjini Arusha ikiwa imepaki huko Kisongo Airport, rubani akidai kuwa wanamsubiri mtu aitwaye January Makamba ili wapangiane routes na mikakati!

Helikopta hiyo ni ya kampuni ya Everrett iliyoko jijini Dar-Es-Salaam, na ina Registration No:5H-EXP.
Chopa hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 4 imetua Kisongo mnamo saa 5 asubuhi hii.


(Picha hii chini siyo ya Arusha, lakini chopa yenyewe ndiyo hiyo exactly)
View attachment 50442
 
Katika hatua za kukabiliana na kujibu mapigo ya CDM, magambaz leo hii wameleta chopa ya kwanza mjini Arusha ikiwa imepaki huko Kisongo Airport, rubani akidai kuwa wanamsubiri mtu aitwaye January Makamba ili wapangiane routes na mikakati!

Helikopta hiyo ni ya kampuni ya Everrett iliyoko jijini Dar-Es-Salaam, na ina Registration No:5H-EXP.
Chopa hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 4 imetua Kisongo mnamo saa 5 asubuhi hii.


(Picha hii chini siyo ya Arusha, lakini chopa yenyewe ndiyo hiyo exactly)
View attachment 50442

Pakajimmy, napata wsws na hii story yako. Mimi leo nlikuwepo hapo uwanjani kisongo toka saa tatu asubuhi. Nimeiona hiyo chopa na nimepata fursa ya kuongea na mmoja wa ofisa mwandamizi wa huo uwanja (jina ninalo if needed). kwanza haikutua saa tano kama unavyosema, pili hiyo chopa pichani sio yenyewe iliyopo uwanjani japo kweli zinafanana. na baada ya kutua hyo chopa, zilitua nyingine mbili, ilianza nyekundu kisha ikaja nyingine ya kijani kbs. katika kudadisi kwangu nilielezwa hizo chopa zimetokea kenya na zimekuja kwenye mambo ambayo wala hayahusiani kbs na siasa za meru.
Nadhani umeteleza kdg mkuu, hii story ni ya kupika. Ila sipo kinyume na lengo lako la kutaka kuonyesha wadau jinsi magamba walivyo hoi.
 
Back
Top Bottom