Chopa 3 = visima vya maji vingapi?

Chopa 3 = visima vya maji vingapi?

Mbunge mmoja wa CCM aliyeleta kisima cha maji ni yupi??
Kwahiyo mnaombea CDM iongoze nchi kwa hela zake mfukoni ili ninyi CCM muendelee kutafuna Kodi za walalahoi kama kawaida??
CCM mmejichukulia kautawala chenu cha kikoo nchi mzima
 
Ungeuliza ndege ya Rais ni visima vingapi? ungekuwa na akili
 
Naomba unitajie eneo mojawapo ambalo CCM wamechimba Kisima/Visima au kujenga Barabara kwa kutumia fedha za CCM, Ukiishanipatia hili jibu naomba unifafanulie zile 90,000,000/= Mwigulu alizochukua Bank siku moja kabla ya Uchaguzi zimeenda Kalenga kuchimba visima vingapi?
Mlipewa millioni 100 na sabodo mlichimba hata shimo
 
Misukule haiambiliki, hususan saa hizi imeshapata ile kitu ya babu Slaa aka gongo.
 
Ulishawahi kujiuliza ndege ya raisi ni visima vingapi?
Ulishawahi pia kujiuliza yale magari ya mawaziri ya almost milioni mia mbili kila moja, na yale magari ya wabunge ni visima vingapi?
Au wewe hayo macho yako ya "makengeza" yanaona chopa zaCDM tu, ndio zichimbe visima!?, CDM ambao hata hivyo hawachukui kodi kwa wananchi!?



-------- mjibu kwa hoja ataelewa tu.
 
Serikali imenunua mashangingi lukuki yajulikanayo kama "Kilimo Kwanza" moja ni milioni 160. Toba!!.

Mpaka Wakurugenzi wa Wilaya wanayo mengi tu.

Hilo Kopta ni kama L/Rover 110 tu.

Shame on You CheCheMe people.
 
Walotumia bilion kusambaza kwa mabalozi wa nyumba kumi na wenyeviti, hizo hazitoshi kuweka visima, ifikie wakati tuangalie uhalisia sio ushabiki.
 
Naomba unitajie eneo mojawapo ambalo CCM wamechimba Kisima/Visima au kujenga Barabara kwa kutumia fedha za CCM, Ukiishanipatia hili jibu naomba unifafanulie zile 90,000,000/= Mwigulu alizochukua Bank siku moja kabla ya Uchaguzi zimeenda Kalenga kuchimba visima vingapi?

Hata kaka yangu alipokuwa mwanafunzi wa sekondari alikuwa akininunulia penseli, ufuto na mathematical sets (mikebe) kwa hela ndogo aliyokuwa akipewa na baba kwa matumizi yake akiwa shuleni na nauli ya kurudi nyumbani wakati wa likizo, na mimi nilimpenda sana nilikuwa nikitamani afunge shule aje nyumbani kwakuwa nilikuwa nafahamu kuwa kaka yangu alikuwa ananipenda japokuwa hakuwa na kazi bado lakini alikuwa akijibana hadi kufikiria kunipa zawadi mimi ndugu yake. Nami nilikuwa nikienda stendi kwa upendo kwenda kumlaki na kumpokea mizigo iliyokuwa amebeba hata kama ilikuwa begi lake dogo tu la mkononi. Nami nilikuwa nafuga kuku wengi nyumbani nikawa mwepesi kuruhusu kaka yangu apewe kitoweo anapofika nyumbani. Hii inaonyesha kuwa CDM haihitaji kusubiri kuingia Ikulu ndipo iweze kutatua kero za wa wananchi kwa kutumia kodi zao, inaweza kutumia vyanzo vyao vingine vya mapato (sio) kwa kutatua kero ndogondogo za wananchi wa vijijini wakati wakisubiri boom kubwa watakapoingia Ikulu. Hii itasaidia kujenga imani kwa wananchi kama vile mimi nilivyojenga imani kwa kaka yangu aliyekuwa ananipa penseli na ufutio tu na kunifanya mimi niweze kumchinjia majogoo na kwenda kumlaki kwa upendo kaka yangu aliyeonyesha kunijali japokuwa hakuwa na kazi bado. Ndiyo maana wananchi wanaweza kuwapa CCM kura kwa kupewa vitu vidogo tu kama vile fulana, kofia na vitambaa vya kufunga shingoni (skafu) tu. Wananchi wengi hawataki chama ila wanataka utatuzi wa kero zao tu basi.

Huu ni ushauri wa bure tu kwa CDM wa jinsi ya kujenga imani kwa wananchi wawachague.
 
Mbunge mmoja wa CCM aliyeleta kisima cha maji ni yupi??
Kwahiyo mnaombea CDM iongoze nchi kwa hela zake mfukoni ili ninyi CCM muendelee kutafuna Kodi za walalahoi kama kawaida??
CCM mmejichukulia kautawala chenu cha kikoo nchi mzima

Mbunge wa CCM hahitaji kuchimba kisima kwa hela yake maana anatekeleza ilani yao kuleta kisima jimboni. Mbunge wa CDM atahitaji kutumia akili na nguvu za ziada kuleta maendeleo jimboni kwake japo kidogo, maana wananchi hawana haja na chama bali utatuzi wa kero zao zinazowatatufuna kila kukicha, sasa kama mbunge wa CDM atainua mikono juu akidai hana hela za kutatua kero zao sasa kwanini ameomba kura zao? pamoja na kuhakikisha jimbo linapata keki ya taifa mbunge wa upinzani lazima ahahe kutafuta njia na mbinu nyingine za kutatua kero za jimbo on top of the 'well known' national cake distribution so that to convince his/her voters that they have done the right choice to put him/her in power. Otherwise voters are not interested in the names, gender, or political parties occupying their province. I can assure you that, people like Mr. Sugu can not be re-elected by voters if they can not push development agenda in their provinces, they have to show their voters tangible problem solving strategies instead of mere shouting and critiques against CCM strategies and not doings. For your information people like Ndesamburo, Zitto, MBoye, and Slaa use their own efforts to convince their people that they have done the right choices to vote for them, they are not depending solely on national cake (budget) that is why it is difficult to eliminate them from their provinces, so we need people like Zitto, Mbowe, Ndesamburo, Slaa in the opposition by the time being
 
Back
Top Bottom