Vunja mfupa kama meno bado iko......
Source: sam mapangala
haya bhana unatuhongea wapenzi wetu kisa hatuna hela
.....eeeehUna hela weye?
Aliekuambia mie kijeba nani? Kwa taarifa yako bado bik.ra
...ndio kakuambia uvunje huo mfupa...Kizee chenyewe hakina hata mfupa
Hata kusimama dede huwezi
...hahahahahahaha...hii kali..umetishaItakuwa
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.
Kwa ma vsop kwa bishanga ni kama saudia na mchanga yamejaa tele kwenye private bar yangu.
...sasa ukishang'oa huo mnofu...itakuaje sasa...lolLabda ning'oe mnofu
sawa zikija shutma itabidi ujibu.. Hujambo lakini?
...sasa ukishang'oa huo mnofu...itakuaje sasa...lol
Bila shaka,,mjini kwenu salama huko lakini?
Itakuwa
Mbuzi kafia kwa mwuza supu.